Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!

Mimi naanza na hawa;

Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?

cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?

Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?

min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?

dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?

onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?

Lamomy - tukio gani ushawahi kumpiga mtu akabaki na butwaa haamini?

Harmful , makaveli10 lini ni mara ya mwisho umemwaga zigo na ulifanya nini kuhakikisha mwenzako naye kamwaga?
Yako Ina kautumbo Kwa nje au kakiharage tu? Na mashavu vipi yapo?
 
Ilikuaje ukamkubalia
Alikua high school sweetheart wangu, tulipendana ile ya kitoto toto, ilikua mara ya kwanza kwake na kwangu kudinyana.

Ulishawahi kusikia bikra anamtoa mwenzake bikra? ilikua ni shoo ya hovyo sana na ilituchukua siku 3 mpaka ukuni wake ukafanikiwa kuingia 😆😂
 
Back
Top Bottom