Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Hakuna hata mtu mmoja aliyebisha 😂Hapa nadhani uniite nije kuthibitisha kwa niaba yake na wote watakaobisha
Hakuna hata mtu mmoja aliyebisha 😂Hapa nadhani uniite nije kuthibitisha kwa niaba yake na wote watakaobisha
Ndiyo yako ilisepeshwa lini? na nani alikuwa bebi wako wa kwanza?Bikra ikasepeshwa..!!
Kichwa cha chaja au kichwa gani?Unataka kichwa?
Asante sana mkuu!Binti wa zamani ila avatar toto zuri la kisasa.
Sina swali ila hongera.!
😄 jiboro fala wwKichwa cha chaja au kichwa gani?
Kwa kweli sijawahi kijua kwa nini.Hakika mkuu alafu huwa kuna uhusiano gani kati ya hisia, mawazo na machozi, kwa nini ukilia au kuongea na mtu unahisi kama kuna kitu kimepungua kwenye moyo wako
😆 Mbona jazba sasa 😅😄 jiboro fala ww
😄 upwiru huleta jazi automatically😆 Mbona jazba sasa 😅
AM or PM Right?Kwanza nncheke 😹😹
Mimi bhana niliwahi kuwa na mahusiano na handsome mmoja anafanya kazi AAR enzi hizo, wa kishua sana gari kaanza kudrive ana 13yrs.
Hata vi safari vya best bite na beach za kigambonino tulikuwa tunabebana sana..!!
Sasa katika kutoana sealed kila tukijaribu inashindikana coz mimi kuku mgeni na naogopa hatari..!! (Hii kitu ilininyima amani hata akiniita natamani kuonana naye tatizo nikifikiria hizo mbilinge naishiwa pawa) Japo mpenzi nampenda 🥰
Basi tunaishia kusukumana na kuparuana, kuna siku mpk tulichana skirt zipu ikaachia halafu lilikuwa mino la jeans..!! 😹
Sijui nimalizie story, huyu mbwa ukute ananichora hapa halafu anifate tuanze kugombana tena mana kichaa hata haogopi..!! 😹😹
Tunaka na mizigo kichwani na moyoni kwa muda mrefu bila kuijadili wala kulia na ndio maana tunakufa mapema 😁Kwa kweli sijawahi kijua kwa nini.
Ona hata kwenye msiba wakina mama lia wakati ule wana wahi kusahau mapema kuliko wanaume , huwa inachukua muda sana kusahau.
Hata wakina mama wakisikia mume ametoka nje Wanalia na kusahau, sasa sisi tukisikia hivyo tuna kaza ila ndani tuna lika mno!
Kwa sababu haziongelewi sana na wanawake japo ni sehemu ya kawaida ya maisha. Nafikiri ni muhimu nyie wanaume kujua tunapitia nini au tunapenda nini directly kutoka kwetu.Kwa nini Unapenda kupost Mada za Mapenzi?🧐
Kitu nisicho weza kulia mbele ya mtu, na asili mia kubwa wanaume hawezi kulia mbele ya mtu hata awe wa karibu kiasi gani!Kuna mkaka nilikua namdate akaja kwangu, sijui alikua anapitia magumu gani. Alijilaza akaanza kulia kwa sauti kama dakika 15 hivi, baadaye akanyamaza na hakutaka kuongelea tena kilichomliza.
Baada ya muda akawa sawa tu kama siyo yeye aliyekua analia. Niliogopa ila pia nilifarijika kwamba amejisikia amani kiasi cha kutosha kurelease yaliyokua ndani yake.
Ni kweli kabisa!Tunaka na mizigo kichwani na moyoni kwa muda mrefu bila kuijadili wala kulia na ndio maana tunakufa mapema 😁
Aha sawaKwa sababu haziongelewi sana na wanawake japo ni sehemu ya kawaida ya maisha. Nafikiri ni muhimu nyie wanaume kujua tunapitia nini au tunapenda nini directly kutoka kwetu.
Swali dosho12 sijui kwa nini wengine sisi na uanaume wetu ilio strong lakini tukipata upenyo wa kulia baada ya kuzidiwa na changamoto tukipata faragha tunapo amini hatuonekani chozi linashuka haswa ! Sijui kwa nini lakini kuna faraja kubwa sana baada ya kulia.