Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!

Mimi naanza na hawa;

Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?

cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?

Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?

min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?

dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?

onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?

Lamomy - tukio gani ushawahi kumpiga mtu akabaki na butwaa haamini?

Harmful , makaveli10 lini ni mara ya mwisho umemwaga zigo na ulifanya nini kuhakikisha mwenzako naye kamwaga?
🦥🦥.. Unasikia raha au utamu
 
Hii ndio misimamo, sio kukubali hovyo hovyo ofa za watu, bure imeponza sana vijana Kino 😀
Nakunywa pombe kwa sababu ya kuburudika tu nasio kwa sababu ya ukosefu wa pesa , hivyo hata ukinipa pesa bila masharti yoyote sitapokea ,kwa sababu sina shida ya pesa ya bure pasipo kufanya kazi yoyote .
 
Back
Top Bottom