Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Alikua high school sweetheart wangu, tulipendana ile ya kitoto toto, ilikua mara ya kwanza kwake na kwangu kudinyana.

Ulishawahi kusikia bikra anamtoa mwenzake bikra? ilikua ni shoo ya hovyo sana na ilituchukua siku 3 mpaka ukuni wake ukafanikiwa kuingia 😆😂
Na je ni kweli process ya kutolewa bikra inauma sana kupita maelezo? Na ni kweli mwanamke daima hawezi kumsahau aliembikiri hata akiolewa
 
Mallerina njoo ujibu hili.

Ila inawezekana kua; kimwili, kiuchumi, kihisia au kumpotezea muda ukijua huna malengo naye.
Binafsi, huwa naona mtu anakuwa ametumika kama alichotarajia kukipata hakijatimia. Mfano, Binti wa zamani akimpa mbususu Ngalikihinja kwa matarajio ya kuolewa naye, na ndoa isitokee, hapo Binti wa zamani atakuwa ametumika. Lakini wakati huohuo, Ngalikihinja kumpa hela Binti wa zamani ili apate mbususu na akaipata, anakuwa hajachezewa, maana lengo limetimia.
 
Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!

Mimi naanza na hawa;

Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?

cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?

Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?

min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?

dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?

onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?

Lamomy - tukio gani ushawahi

Lamomy - tukio gani ushawahi kumpiga mtu akabaki na butwaa haamini?

Harmful , makaveli10 lini ni mara ya mwisho umemwaga zigo na ulifanya nini kuhakikisha mwenzako naye kamwaga?
Tight hug...lean my head on his chest. Anibembeleze like a baby...akiniambia maneno matamu...like I am the most beautiful woman he has never seen. He can't let me go. Never hata iweje 😍
Basi hapo aaahhh najiona namiminiwa mahaba telee hata kama nadanganywa 😅
 
Punguza kuangalia movie 😁
 
Binti wa zamani naweza kukupeleka vacation?
Unataka kunipeleka wapi Vin?

giphy.gif
 
Back
Top Bottom