Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Tuzogoe: Uliza swali la kizushi, tukujibu!

Kwenye msiba wa baba nilikabwa na koo, kitu kizito kilikwama kooni, sikuweza hata kuongea. Ila sio kumwaga chozi mkuu😅
Dduuh...mbaya hio
Ungepiga hata makelelee 😔
Mie kwa kulia ndio mwenyewe 🤣. Ila sio sana kulia mbele za watu hata nikipata msiba hutaniona nalia. Lkn nikikaa mwenyewe nalia sana. Tena kimyakimya. Kuna some relief fulani unapata ukiwa una jambo halafu ukalia
 
Binti wa zamani sijakuuliza swali la kizushi,
Hivi unaweza kumkubali me wa jf kwa ajili ya kufurahia uumbaji?😅 if no, why? If yes, type gani?
Swali limeshiba 😅.

So far nilikua nafikiri siwezi kabisa kwa sababu ya kutotaka kupoteza usiri na uhuru wa kuandika ninachotaka.
Ila lately naona kama naweza kubadili mawazo maana nimeona kuna watu wa kueleweka wasio na utoto humu.

Type: Sina specific type muhimu tuendane tu, kwangu nikikutana na "me", tukaconnect, tukawa na chemistry, na tukaelewana naamini mambo mengine yote yanafuata baada ya hapo.

Status: sitafuti/sihitaji me kwa sasa (nafasi imejaa)
 
Tight hug...lean my head on his chest. Anibembeleze like a baby...akiniambia maneno matamu...like I am the most beautiful woman he has never seen. He can't let me go. Never hata iweje 😍
Basi hapo aaahhh najiona namiminiwa mahaba telee hata kama nadanganywa 😅
Kwa hiyo hapa unaweza toa hata kimasihara...
 
Na je ni kweli process ya kutolewa bikra inauma sana kupita maelezo?
Ni kweli inauma ila siyo kupita maelezo (kupitisha kichwa cha mtoto huko kwenye nyapu ndiyo kunauma kupita maelezo 😂)
Na ni kweli mwanamke daima hawezi kumsahau aliembikiri hata akiolewa
Hapana si kweli kabisa, mimi aliyenitoa nilishamsahau na sijawahi kumfikiria toka tulivyoachana.
 
Swali limeshiba 😅.

So far nilikua nafikiri siwezi kabisa kwa sababu ya kutotaka kupoteza usiri na uhuru wa kuandika ninachotaka.
Ila lately naona kama naweza kubadili mawazo maana nimeona kuna watu wa kueleweka wasio na utoto humu.

Type: Sina specific type muhimu tuendane tu, kwangu nikikutana na "me", tukaconnect, tukawa na chemistry, na tukaelewana naamini mambo mengine yote yanafuata baada ya hapo.

Status: sitafuti/sihitaji me kwa sasa (nafasi imejaa)
Umetoa maelezo ukamalizia na kujitetea..!!! 😀 😀
 
Una swali la kizushi kwangu au kwa member yoyote wa JF? njoo uliulize hapa!

Mimi naanza na hawa;

Kaka Mshana Jr - umeshawahi kushuhudia live mambo ya nguvu za giza / kichawi na ilikuaje?

cocastic Angel Nylon Amehlo Mallerina , To yeye - Kitu gani kidogo mtu anaweza kufanya kikakufanya ujisikie unapendwa sana?

Mbaga Jr - umeshawahi kukaa muda gani bila mizagamuano wala kukwea mnazi?

min -me - kiasi gani cha fedha ukipewa unaacha pombe?

dosho12 - lini umelia mara ya mwisho na nini kilikuliza?

onestopcenter - kwanini bado una uvulana wako (bikra) mpaka sasa?

Lamomy - tukio gani ushawahi kumpiga mtu akabaki na butwaa haamini?

Harmful , makaveli10 lini ni mara ya mwisho umemwaga zigo na ulifanya nini kuhakikisha mwenzako naye kamwaga?
Lini uligundua wazazi wako ni CCM na huna ajira na umeambiwa ujiajiri na Diamond lakini wewe na mkeo na wazazi wako wote ni followers wa Diamond?
 
Back
Top Bottom