Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Mkuu upo? Sijakuona mda jukwaanidem wangu wa kwanza
Mkuu upo? Sijakuona mda jukwaanidem wangu wa kwanza
nipo mkuu nilikuwa napenzika !Mkuu upo? Sijakuona mda jukwaani
Hongera sana brothernipo mkuu nilikuwa napenzika !
Hapo mwisho ndio umeharibu mzee mwenzangu😅😅Swali limeshiba 😅.
So far nilikua nafikiri siwezi kabisa kwa sababu ya kutotaka kupoteza usiri na uhuru wa kuandika ninachotaka.
Ila lately naona kama naweza kubadili mawazo maana nimeona kuna watu wa kueleweka wasio na utoto humu.
Type: Sina specific type muhimu tuendane tu, kwangu nikikutana na "me", tukaconnect, tukawa na chemistry, na tukaelewana naamini mambo mengine yote yanafuata baada ya hapo.
Status: sitafuti/sihitaji me kwa sasa (nafasi imejaa)
Nakutakia kila la kheri umpate 😅Nikiwa mkubwa nitataka kuwa na mtu kama wewe .. ngoja nivuke miaka 17+ nikifika tu 18 + naanza kusaka mutu kama wewe
Aaaah kulia labda ikitokea, nakabwa tu na koo. Naamini kitu kikiwa kizito naongea na mtu yanaisha.Dduuh...mbaya hio
Ungepiga hata makelelee 😔
Mie kwa kulia ndio mwenyewe 🤣. Ila sio sana kulia mbele za watu hata nikipata msiba hutaniona nalia. Lkn nikikaa mwenyewe nalia sana. Tena kimyakimya. Kuna some relief fulani unapata ukiwa una jambo halafu ukalia
Unajipigia pasi ndefu ndefu sana mkuu 😂 😂Binafsi, huwa naona mtu anakuwa ametumika kama alichotarajia kukipata hakijatimia. Mfano, Binti wa zamani akimpa mbususu Ngalikihinja kwa matarajio ya kuolewa naye, na ndoa isitokee, hapo Binti wa zamani atakuwa ametumika. Lakini wakati huohuo, Ngalikihinja kumpa hela Binti wa zamani ili apate mbususu na akaipata, anakuwa hajachezewa, maana lengo limetimia.
Aaanhaaa 😍 romantic men wana pepo yao ya peke yao kwa kweli.Tight hug...lean my head on his chest. Anibembeleze like a baby...akiniambia maneno matamu...like I am the most beautiful woman he has never seen. He can't let me go. Never hata iweje 😍
Basi hapo aaahhh najiona namiminiwa mahaba telee hata kama nadanganywa 😅
Ni katika harakati za kuwezesha kila rika linielewe vizuri.Unajipigia pasi ndefu ndefu sana mkuu 😂 😂
Sijui, ila kwangu nilimsahau na wala sijawahi kumfikiria kenge yule 😅Eti Binti wa zamani, ni kwann mwanamke huwa hawezi msahau mwanaume aliyemtoa usichana na aliemzalisha mtoto wa kwanza?
au huna mdogo wako hivi nini vileee 😎Nakutakia kila la kheri umpate 😅
Hapa credit kwa wazazi, walijitahidi kututunza na kutuelimisha tuogope wanaume.Ulijitahd kujitunza...
Hapa kuna sababu ya wewe kuliweka hilo neno kenge. Unaweza ukaisema?Sijui, ila kwangu nilimsahau na wala sijawahi kumfikiria kenge yule 😅
Kwani wewe yako ilinyofolewa ukiwa na umri gani?Ulijitahd kujitunza...
😂😂 utamu umelalia hapo, ila kuwa gentle nacho, kidonda ni sensitive 😂Nilivaa nikamhurumia sana, nikajisema hii yutiyai noma nisijue ndipo utamu ulipojificha!
😂 kubwa sana hawezi ✍️✍️Hahaha,
Mie napenda la wastani bhana, kubwa sana siwezi..
Sasa wasio na makalio wataliwa na nani kama wote mnataka makalio makubwa na ya wastani?Ila ukweli ni kuwa umuhimu wa kalio ni kama vile chachandu/pilipili/chumvi.. kwenye nyama choma..
One of my favorite places 😍Zanzibar 😎
Inasikitisha sana 😂Hua namwaga humu humu JF 😎
😃😃😃😃Hua namwaga humu humu JF 😎