Tuzuie upotoshaji wa kiserikali kuhusu MoU na Mkataba wa Awali

Upotoshaji wa kiserikali upo sehemu moja tu.

Kama MoU na Preliminary Agreement zimeshakosewa, maana yake hata mkataba rasmi ukiandikwa, ambao lazima utokane na hayo makubaliano mawili ya mwanzo nao utakuwa umeshakosewa, kwasababu serikali yetu tayari ilishajifunga.

Tuna hasara sana kuwa na Rais asiyejielewa.
 
Hayo yote yasingekuepo kama tungekua na bunge thabiti, haya yote ni matokeo ya kua na Raisi kama JPM. Kaua mihimili yote sasa tumeanza kupata matokeo ya hilo.
Nakubaliana naww kbs ✔️ haiwezekan unajinasibu mzalendo na Rais wa wanyonge ambae unapambana na mafisadi lkn huwataki wapinzani bungeni ambao wamesaidia san watanzania kujua ufisadi unaofanyika nchini. Hata mikataba ya hovyo mingi walipinga sana, je lengo lilikua ni lipi la kuwaondoa wanaopinga mikataba mibovu na kuibua kashfa za kifisadi? Majibu nayataka toka kwa walinda legacy...
 
Mkataba sio porojo, ili uitwe mkataba mahakamani; lazima uthibitishe test tano.

1. Offer
2. Acceptance
3. Consideration
4. Mutual obligation
5. Capacity to enter the contract

Bila ya kuonyesha mahakama ivyo vitu vitano huo sio mkataba wa biashara.

Hapo kwenye 2 na 5 hiyo agreement ipo wazi ili serikali iweze fanya majadiliano lazima kwanza hayo maelewano yapitishwe na bunge sasa kuna mkataba hapo.

Kuna mambo mengi hapo ukifanyia test huo auwezi ita mkataba.
 
Hayo yote yasingekuepo kama tungekua na bunge thabiti, haya yote ni matokeo ya kua na Raisi kama JPM. Kaua mihimili yote sasa tumeanza kupata matokeo ya hilo.
Huwezi kumeza maji bila kumtaja JPM?

Mwaka gani hii nchi imefanya hicho unachokitaka?
 
Kuna upotoshaji mkubwa kwamba kilichopo sasa ni MoU na Mkataba wa Awali tu hivyo hatuwezi kujadili kwamba Serikali imeingia mkataba na Dubai. Nafikiri tuwekane sawa kidogo na tupate tafsiri ya hayo maneno yana maana gani hasa.

Maana na Tafsiri halisi ya MoU - Memorandum of Understanding au kwakiswahili fasaha "Mkataba wa Makubaliano", Ni msingi unaowekwa kwaajili ya kusimamia jambo halisi ama mkataba kamili. Au ni Mwongozo kwaajili ya mkataba.

Pili kuna Mkataba wa Awali, Preliminary Agreement, haya ni Makubaliano ya Awali ya mkataba halusi ambayo lengo lake halisi huwa ni kuandaa utekelezaji wa mkataba. Kwa lugha nyingine tukiwa site tunaita mobilization site. Preliminary Agreement ikishatumika kwa muda uliowekwa haina kazi tena, mfano hii preliminary Agreement ya Serikali na Dubai ni ya miezi 12 kama wao wanavyosema japo hakuna palipoandikwa, na kwa muda mkataba ulivyosainiwa 25 October 2022, inamaana kwamba uhai wa Preliminary Agreement hiyo imebaki miezi 4 tu, ndiomaana wanakimbizana kutaka bunge liidhinishe fasta ili wasaini mkataba halisi. Kuna hoja kwamba kwanini Preliminary Agreement imeanza kufanya kazi kabla bunge halijaridhia kama sheria na katiba inavyotaka. Hili niwaachie Wanasheria Mh. Lissu na Mh. Peter Kibatala watatusaidia.

Mambo yote mawili hapo juu, yaani MoU na preliminary Agreement yana kazi moja tu kwamba mkataba halisi utakaosainiwa hautatoka nje ya kile mlichokubaliana kilichoandikwa kwenye MoU na Preliminary Agreement. Kwa lugha rahisi ni kuwa Mkataba halisi Kati ya Serikali na Dubai, hautatoka nje ya Yale tunayoyasoma kwenye MoU ya Serikali na Dubai kuhusu Bandari ya Dar. Kwahiyo ndio kusema MoU hii ni sawa na mkataba tu, tofauti yake ni kuwa hii inaweza kuhaririwa na kuondolewa yale yatakayobishaniwa na pande mbili kabla ya kusaini mkataba.

Kwahiyo ilimradi MoU na Mkataba wa Awali viko Public, Umma una haki ya kujadili na kukosoa kwa nguvu zote kwa lengo la kushauri marekebisho ya msingi. Kukosoa MoU haina maana tunaingilia Bunge, kila mtu kwa sehemu yake akosoe ashauri apinge na asifie, Ilimradi MoU iko public kwa umma. Aliyeleta kwa Umma MoU ni serikali, hivyo isiogope ukosozi, ipokee na iingatie hisia na matakwa ya umma!

Tuendelee kujalidi tusiruhusu wahalifu watuondoe kwenye mjadala kwakufanya spinning za kwamba Mh Mbowe kataja Uzanzibar nk, Hawa kina Kibajaji ni sehemu ya kundi la watanzania wenzetu wajinga tusiwape muda wetu. Tukumbuke sheria mbovu ya TISS inapitishwa katikati ya sakata la Bandari.

Na Yericko Nyerere

Hivi serikali ya Dubai ni fully sovereign? Inatambulika kimataifa kama serikali inayomiliki territory? Dubai inamiliki territory? Sio kwamba ipo ndani ya territory ya UAE? Je, Dubai inatambulika kidiplomasia?
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Safi sana !
 
Back
Top Bottom