Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
- Thread starter
- #21
Uko sahihi.Mtoto NI malezi.Tuwatamkie watoto mema Ili yaishi kwao.Hii issue ya majina hata sielewagi uhusiano wake wakati mwingine.Mbona kuna watotomajina ni mazuri Tu lakini watukutu balaa.Mfano ukamwita mtoto John kwa sababu lilikua ni jina la babako ndo mtoto anakua na tabia za babako.Mi naona cha msingi ni kumpa jina mtoto Bila kunuia tabia za mwenye jina.Sijui nimeelewa🙆🙆
Kwamba huyo mtoto asiwe na tabia kama za mwenye jina. Libaki tu kuwa jina.
But trust me, jina lina nguvu kubwa kisaikolojia na hata kiroho.