Tuzungumze Kifamilia: Jinsi Kauli zetu Wazazi/Walezi zinavyokuwa Baraka au Laana kwa Mtoto

Mtoto NI malezi.Tuwatamkie watoto mema Ili yaishi kwao.Hii issue ya majina hata sielewagi uhusiano wake wakati mwingine.Mbona kuna watotomajina ni mazuri Tu lakini watukutu balaa.Mfano ukamwita mtoto John kwa sababu lilikua ni jina la babako ndo mtoto anakua na tabia za babako.Mi naona cha msingi ni kumpa jina mtoto Bila kunuia tabia za mwenye jina.Sijui nimeelewa🙆🙆
Uko sahihi.
Kwamba huyo mtoto asiwe na tabia kama za mwenye jina. Libaki tu kuwa jina.
But trust me, jina lina nguvu kubwa kisaikolojia na hata kiroho.
 
Siipendi tabia ya kurithisha majina kwa watoto, mengine yanabeba hadi tabia.....

Last born kwetu alipewa jina sijui la babu mzaa baba, basi huwa tunaambiwa alikuaga mkaliii afu anapotea tu nyumbani yani kama anatoroka hata mauti yalimkuta akiwa porini katoweka nyumbani.

Huyu last born sasa copy and paste jamaa mkali kama pilipili hata akikosa hataki kuulizwa yupo 30s ila hadi leo bado huwa anatoroka nyumbani.

Wazazi msiwape majina ya urithi watoto, heri ku gugu jina zuri mpe mtoto.
watu tumekula hesabu za fasta kuhusu umri wako kupitia mdogo wako wa mwisho ungesema mpo wangapi tungekuambia umri wako ni ngapi mpaka sasa...out of topic 😀
 
Siipendi tabia ya kurithisha majina kwa watoto, mengine yanabeba hadi tabia.....

Last born kwetu alipewa jina sijui la babu mzaa baba, basi huwa tunaambiwa alikuaga mkaliii afu anapotea tu nyumbani yani kama anatoroka hata mauti yalimkuta akiwa porini katoweka nyumbani.

Huyu last born sasa copy and paste jamaa mkali kama pilipili hata akikosa hataki kuulizwa yupo 30s ila hadi leo bado huwa anatoroka nyumbani.

Wazazi msiwape majina ya urithi watoto, heri ku gugu jina zuri mpe mtoto.

Kama ur last born yupo around 30s basi wewe tunabidi tukupigie mizinga arobaini
 
Mambo ya majina hayana uhalisia Ila mazingira anapolelewa mtoto.

Mimi ntatoa ushuhuda in three ways

Kaka yangu wa kwaza - huyu shule ilimshinda akaanza kuwa mtoto wa mtaani , anaamka Ahsubui anarudi jioni .

Ila alipochukuliwa na mzee wetu mpaka Leo ni engineer wa mambo ya ujenzi .

Kaka yangu wa pili na yeye aliacha shule akiwa kidato cha kwanza Ila alipochukuliwa na mzee sasa yupo Sehemu kubwa Kama Engineer wa maji.

Mimi mwenyewe nilikuwa the same naishi na mom nikapata zero 4M4 nikafeli darasa la Saba

Ila nilipokaa na mzee wangu Leo Nina shahada ya ualimu wa sekondari.

Ili mtoto afanikiwe muwekee mazingira mazuri .

Kuzaa kila MTU anaweza Ila kulea sio kila MTU anaweza.
 
Ahaaa 🤗 kauli ya Mwalimu wa serikali aliyechoka maisha

Msome msisome Mimi mshahara unaingia
Kwani uongo 😹😹😹😹 soma usisome mshahara upo.

Ni mtu mzima ana akili timamu anajua anachokifanya, angekua mtoto moyo ungekua unaenda mbio...
 
Siipendi tabia ya kurithisha majina kwa watoto, mengine yanabeba hadi tabia.....

Last born kwetu alipewa jina sijui la babu mzaa baba, basi huwa tunaambiwa alikuaga mkaliii afu anapotea tu nyumbani yani kama anatoroka hata mauti yalimkuta akiwa porini katoweka nyumbani.

Huyu last born sasa copy and paste jamaa mkali kama pilipili hata akikosa hataki kuulizwa yupo 30s ila hadi leo bado huwa anatoroka nyumbani.

Wazazi msiwape majina ya urithi watoto, heri ku gugu jina zuri mpe mtoto.
Supu ya utumbo ndizi unakunywaga mammy love??
 
Sasa nimeona katika familia nyingi, wazazi wengi hawajui au hawatambui kwamba vinywa vyao vimebeba baraka au laana kwa watoto wao.

Wewe umezaliwa na kukulia Tanzania? Unachosema ni kinyume kabisa. Jamii kubwa ya kitanzania inaamini katika laana na baraka za wazazi kwa kiasi kikubwa.
 
Mimi ni baba nisiyependa ujinga kwa watoto wangu. Nina apply ukali (haswa) kwwnye tabia nisizopenda pindi ninapozi notice kwa wanangu.
Ni mkali sana kwenye hili huwa sina itani wala kucheka hata kidogo, sionyi kwa upole naonya kwa ukali na kiboko.

Nasisitiza always wanangu wafuate njia ninazo sisitiza juu yao, na waboreshe zaidi. Sina noma naa mtoto mtii na mwenye adili.

- Nafanya kaz zote za nyumban pamoja na wanangu (ni kawaida kabisa kukuta wife anafua, mimi napika, watoto wana deki au mimi nafua wao wanapika wife anafanya usafi ndani kifupi nyumban kwangu kila kazi ni ya kila mtu)

- Nina muda wa ibada na wanangu daily (saa 3 usiku na saa 11 alfajiri )

- Nina class time na wanangu daily (hasa mwanangu wa kwanza wa kike aliye secondary saa 10 alfajir daily)

- Kuna mambo kama mzazi huwa nakiri nimekosea pale napoona hapa sijawatendea haki au onyo limevuka mpaka, na kuwaambia wanisamehe pindi inapojitokeza.

- Huwa nawaweka bayana kabisa , hapa nyumbani ni kazi , asiyefanya kazi na asile. No free lunch ,breakfast or dinner kwa mtu asiyetimiza majukum.😂.
Eyce knows
 
Mzazi mkoloni 😁😁
 
Umei-copy wapi hii Mzee wangu?
 
Back
Top Bottom