Tuzungumze Kifamilia: Jinsi Kauli zetu Wazazi/Walezi zinavyokuwa Baraka au Laana kwa Mtoto

Nikikua muhanga wa hii wakati nakua.

My mother alikua yuko so negative na mimi, Makasiriko yalikua mengi, Ukikosea kidogo unakula kichapo hicho + Maneno makali makali, + Kusemwa vibaya mbele ya rafiki zangu πŸ™„, nilikua naumia mno.

Effects yake sasa nikawa nakuua mnyonge, mkimya si nyumbani si darasani, Very cool.

Ila baadae baadae darasa la 6 hivi, Ghafla akili sijui zilitoka wapi nikaanza kupasua mno hesabu, kiasi cha kwamba kila mtu anaanza kujisogeza karibu na mm, mpaka waalimu wanatamani kunijua vizuri, hapo mm nishakua zube, Sijiamini na siwezi kuinteract na watu 🀣

Nashkuru Mungu nikaanza kuwork on my self since then, Kwanza nikawa najitenga na my mom, Kila kitu nafanya kwa password kali mno ili yusiwe tunasemeshana saana.

Mambo yakaja kubadirika advance huko nilivo kutana na jamii mpya ambayo hainijui, ndo nikajichanganya na kupata new identity mapaka sasa naona niko +ve sana na maisha.

Hua simlaumu sana, Kuna maisha flani tulipitia kama familia, naona nae akashindwa kuyabeba yote ndyo ikampelekea kua hivo.

Funzo: Mama zetu tunawaombeni sana jitahidi kuwatamkia mema, na ku encourage watoto zenu. Mnaua sana vipaji vya watoto kwa maneno yenu.
 
watu tumekula hesabu za fasta kuhusu umri wako kupitia mdogo wako wa mwisho ungesema mpo wangapi tungekuambia umri wako ni ngapi mpaka sasa...out of topic πŸ˜€
Mimi mwenyewe nimeshtuka sana, watu tuwe naheshima humu jukwaani tuna interact na watu walienda leba na mama zetu kipindi tunazaliwa 🀣
 
Wengine walikuwa maskini hohehahe basi ukimpa jina mwanao hata ufanyaje unakuta mtoto hatoboi
 
watu tumekula hesabu za fasta kuhusu umri wako kupitia mdogo wako wa mwisho ungesema mpo wangapi tungekuambia umri wako ni ngapi mpaka sasa...out of topic πŸ˜€
Lakini amejipata hana shida huyo kikongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…