Emanuel Alfred
New Member
- May 11, 2024
- 3
- 5
Umenena vyema sana umetupa darasa kubwa sana mwenye kuelewa na aelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyewe nimeshtuka sana, watu tuwe naheshima humu jukwaani tuna interact na watu walienda leba na mama zetu kipindi tunazaliwa 🤣watu tumekula hesabu za fasta kuhusu umri wako kupitia mdogo wako wa mwisho ungesema mpo wangapi tungekuambia umri wako ni ngapi mpaka sasa...out of topic 😀
kabisa mkuu 😀 😀 😀Mimi mwenyewe nimeshtuka sana, watu tuwe naheshima humu jukwaani tuna interact na watu walienda leba na mama zetu kipindi tunazaliwa 🤣
Wengine walikuwa maskini hohehahe basi ukimpa jina mwanao hata ufanyaje unakuta mtoto hatoboiSiipendi tabia ya kurithisha majina kwa watoto, mengine yanabeba hadi tabia.....
Last born kwetu alipewa jina sijui la babu mzaa baba, basi huwa tunaambiwa alikuaga mkaliii afu anapotea tu nyumbani yani kama anatoroka hata mauti yalimkuta akiwa porini katoweka nyumbani.
Huyu last born sasa copy and paste jamaa mkali kama pilipili hata akikosa hataki kuulizwa yupo 30s ila hadi leo bado huwa anatoroka nyumbani.
Wazazi msiwape majina ya urithi watoto, heri ku gugu jina zuri mpe mtoto.
Lakini amejipata hana shida huyo kikongwewatu tumekula hesabu za fasta kuhusu umri wako kupitia mdogo wako wa mwisho ungesema mpo wangapi tungekuambia umri wako ni ngapi mpaka sasa...out of topic 😀