Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Yaan Salah aliacha kufunga kisa fainali na akaumia mapema hata ivyo ile faulo ilikuwa ya bahati mbaya Sio makusudi
 
Si kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!

Kifupi, kama ningekuwa Kiev Jana Ramos nilikuwa navunja miguu kwa Bastola tu, Kenchtype...Dadeeeek!!!!
 
Tena haufai kufumbiwa macho hata chembe, Dadeeeki
 
Kwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundu

Ebu angalia mwanzon kabisa hili tukio lilikuwaje hadi kuangaka na kuvunjika bega

Mim naona izo ni technc za mchezo tuuu
 
Pole sana.
Fainali ingekuwa nzuri kwenu kama liver ingeshinda eeh!
 
Kazi ya ramos ni defensing hivyo alichokifanya ni kumzuia adui that's all. Weather alifanya bahati mbaya au kusudi lakini alikuwa anafanya kazi yake.

•Technically
•Defensive
•Aggresive
•Stongest

Nadhan umejushajua Mo sarah alikutana na jitu la namna gani.
 
nafurahi tukijibishana kwa hoja pamoja vidhibitisha hoja
nimeangalia mara nyingi huo mkono ameu lock , je uliona move ya wao kuanguka ..ina mana na yeye ramos aliamua kuushikilia hadi kumdondokea kwa kuelemea mwili wote kwenye bega , basi kwa sayansi hio naona wazi kabisa aliona ni "fursa" akaitumia ..mana dhamira ya mpira ni fair play ambayo pia mind inahusika, sasa kwenye mida kukiwa na unfair play kuna fair play hapo?
 
Pole sana.
Fainali ingekuwa nzuri kwenu kama liver ingeshinda eeh!
tukio moja laweza kuharibu mpira mzima ..mimi sio shabiki wa mpira ...mimi ni mpenzi wa mpira..kwaio hoja zangu najibu kwa kuzingatia upenzi wa mpira na sio ushabiki
mechi ikiwa fair play hasa fainal yoyote anayechukua ushindi ni sawa tu, uchukue ushindi kwa kufanya unfair play tena ya kumuumiza mwenzio vibaya na pngine kumhatarishia career yake ni unyama na hata ubingwa unaochukua hauna maana.
 
The 2018 UCL final was NOT made for Mo Salah's presence alone!
History will remember the 13th triumph for Real Madrid in UCL was a victory over Liverpool, not that Mo Salah was injured!
 
Ramos alifanya makusudi kinachoshangaza mwamuzi alikuwa karibu lakini hakujali.Ile ni tabia ya Ramos,ana mambo ya kihuni ,alifanya hivyo baada ya kuona hali ni mbaya kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…