FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,356
Hahahaaa,,,, una mawazo kama yakwangu MkuuHaikuwa fair hata kidogo.Ni wa kumsomea ALBADIR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa,,,, una mawazo kama yakwangu MkuuHaikuwa fair hata kidogo.Ni wa kumsomea ALBADIR
mkuu humu kuna mashabiki wa mpira ..wapenz wa mpira na wanaojua mpira ni wachache mno na utawajua kwa comments zao,hamna mbinu ya mpira inayoruhusu rafu ..hata makocha wa mtaani haezi mwelekeza beki kua acheze rafu
Si kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!kwanza hata haikuwa foul kama ulikuwa makini mpira uliendelea mpaka pale ulipotolewa nje.
Salah alianza kuingiza mkono kwa Ramos na kwakutumia uzoefu Ramos alitake advantage.
yale mambo kwenye mpira ni ya kawaida sana, rejea 2016 ktk fainali ya EURO Ronaldo alichezewa rafu na Payet na ilikuwa kama vile alitolewa na walibeba ndoo.
kufungwa kwa Liverpool hakuhusiani kutoka kwa Salah japo alitoka lakini Liverpool walipata goli mimi nasema walifeli ktk mbinu na ubovu wa kipa wao, so kutoka kwake isiwe excuse hapa.
FOOTBALL IT'S ALL ABOUT PHYSICAL CONTACT
Get Well Soon Salah
Tena haufai kufumbiwa macho hata chembe, Dadeeekialichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
Cry out loud, "cry boy"...it'll easy your pain!ok basi tusubiri official release ya majibu ya daktari nadhani atakua proud sana kama ikigundulika kavunjika bega
wewe ni shabiki tu hujui mpira nakuacha tu ..nongea na wanaojua mpira.Cry out loud, "cry boy"...it'll easy your pain!
Kwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundualichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
Pole sana.alichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
nafurahi tukijibishana kwa hoja pamoja vidhibitisha hojaKwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundu
Ebu angalia mwanzon kabisa hili tukio lilikuwaje hadi kuangaka na kuvunjika bega
Mim naona izo ni technc za mchezo tuuuView attachment 787466
tukio moja laweza kuharibu mpira mzima ..mimi sio shabiki wa mpira ...mimi ni mpenzi wa mpira..kwaio hoja zangu najibu kwa kuzingatia upenzi wa mpira na sio ushabikiPole sana.
Fainali ingekuwa nzuri kwenu kama liver ingeshinda eeh!
The 2018 UCL final was NOT made for Mo Salah's presence alone!tukio moja laweza kuharibu mpira mzima ..mimi sio shabiki wa mpira ...mimi ni mpenzi wa mpira..kwaio hoja zangu najibu kwa kuzingatia upenzi wa mpira na sio ushabiki
mechi ikiwa fair play hasa fainal yoyote anayechukua ushindi ni sawa tu, uchukue ushindi kwa kufanya unfair play tena ya kumuumiza mwenzio vibaya na pngine kumhatarishia career yake ni unyama na hata ubingwa unaochukua hauna maana.
unaweza kuniambia kwanini picha ya kwanza ramos kaung'ang'ania mkono hadi chini na akamaliza kwa kuulalia eti tu kwamba salah aliu lock mkono wake kwenye mkono wa ramos?!Na hii vipi?View attachment 787475
The referee seems to be a party to that misconduct,he was just within the reasonable proximity and pretended not to have noticed.Ramos is a huligan,he deed it maliciously.That is what we call "Professionalism" siyo "Nyosso yule wa TZ.
Naunga mkono hojaHaikuwa fair hata kidogo.Ni wa kumsomea ALBADIR