Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Haikuwa fair hata kidogo.Ni wa kumsomea ALBADIR
Hahahaaa,,,, una mawazo kama yakwangu Mkuu
IMG-20180527-WA0013.jpg
 
Yaan Salah aliacha kufunga kisa fainali na akaumia mapema hata ivyo ile faulo ilikuwa ya bahati mbaya Sio makusudi
 
kwanza hata haikuwa foul kama ulikuwa makini mpira uliendelea mpaka pale ulipotolewa nje.

Salah alianza kuingiza mkono kwa Ramos na kwakutumia uzoefu Ramos alitake advantage.

yale mambo kwenye mpira ni ya kawaida sana, rejea 2016 ktk fainali ya EURO Ronaldo alichezewa rafu na Payet na ilikuwa kama vile alitolewa na walibeba ndoo.

kufungwa kwa Liverpool hakuhusiani kutoka kwa Salah japo alitoka lakini Liverpool walipata goli mimi nasema walifeli ktk mbinu na ubovu wa kipa wao, so kutoka kwake isiwe excuse hapa.

FOOTBALL IT'S ALL ABOUT PHYSICAL CONTACT

Get Well Soon Salah
Si kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!

Kifupi, kama ningekuwa Kiev Jana Ramos nilikuwa navunja miguu kwa Bastola tu, Kenchtype...Dadeeeek!!!!
 
alichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
Tena haufai kufumbiwa macho hata chembe, Dadeeeki
 
alichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
Kwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundu

Ebu angalia mwanzon kabisa hili tukio lilikuwaje hadi kuangaka na kuvunjika bega

Mim naona izo ni technc za mchezo tuuu
IMG-20180527-WA0037.jpg
 
alichofanya ni unyama! ilitakiwa iwe final nzuri ..imejeuka kua final ya ovyo ovyo tu kwa kitendo kile tu sizungumzii ushabiki nazungumza kama mpenzi wa mpira na mpenzi wa fair play kwenye mpira ...mashabiki ndo wanaongea ovyo na ndio wanaoona ni kitu cha kawaida ...kujaribu kumvunja mtu bega ili tu ufanikiwe lengo lako kwenye mpira ni unyama
Pole sana.
Fainali ingekuwa nzuri kwenu kama liver ingeshinda eeh!
 
Kazi ya ramos ni defensing hivyo alichokifanya ni kumzuia adui that's all. Weather alifanya bahati mbaya au kusudi lakini alikuwa anafanya kazi yake.

•Technically
•Defensive
•Aggresive
•Stongest

Nadhan umejushajua Mo sarah alikutana na jitu la namna gani.
 
Kwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundu

Ebu angalia mwanzon kabisa hili tukio lilikuwaje hadi kuangaka na kuvunjika bega

Mim naona izo ni technc za mchezo tuuuView attachment 787466
nafurahi tukijibishana kwa hoja pamoja vidhibitisha hoja
nimeangalia mara nyingi huo mkono ameu lock , je uliona move ya wao kuanguka ..ina mana na yeye ramos aliamua kuushikilia hadi kumdondokea kwa kuelemea mwili wote kwenye bega , basi kwa sayansi hio naona wazi kabisa aliona ni "fursa" akaitumia ..mana dhamira ya mpira ni fair play ambayo pia mind inahusika, sasa kwenye mida kukiwa na unfair play kuna fair play hapo?
 
Pole sana.
Fainali ingekuwa nzuri kwenu kama liver ingeshinda eeh!
tukio moja laweza kuharibu mpira mzima ..mimi sio shabiki wa mpira ...mimi ni mpenzi wa mpira..kwaio hoja zangu najibu kwa kuzingatia upenzi wa mpira na sio ushabiki
mechi ikiwa fair play hasa fainal yoyote anayechukua ushindi ni sawa tu, uchukue ushindi kwa kufanya unfair play tena ya kumuumiza mwenzio vibaya na pngine kumhatarishia career yake ni unyama na hata ubingwa unaochukua hauna maana.
 
The 2018 UCL final was NOT made for Mo Salah's presence alone!
History will remember the 13th triumph for Real Madrid in UCL was a victory over Liverpool, not that Mo Salah was injured!
 
Ramos alifanya makusudi kinachoshangaza mwamuzi alikuwa karibu lakini hakujali.Ile ni tabia ya Ramos,ana mambo ya kihuni ,alifanya hivyo baada ya kuona hali ni mbaya kwao.
 
Back
Top Bottom