inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Huo mkono wa ramos mbona umepinda kama anampiga mtu kiwiko!?..alipotega mkono hivoni lazma mkono wa salah uwe ndani hivo,huenda alilifanyia mazoezi hili,sasa baada ya hapo kaung'ang'ania had chini halafu akabilingika juu yake..ni kusudi,hii si mbinu ya mpira bali uwoga unaotokana na kukosa uwezoKwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundu
Ebu angalia mwanzon kabisa hili tukio lilikuwaje hadi kuangaka na kuvunjika bega
Mim naona izo ni technc za mchezo tuuuView attachment 787466
Kwakweli itapendeza Sana Kama atakuwa amevunjika bega na shingo kabsa maana sioni mnacholalamikia hapa!ok basi tusubiri official release ya majibu ya daktari nadhani atakua proud sana kama ikigundulika kavunjika bega
Mnataka super captain afanyeje?? Angemuua kabsa mngesemaje?? Shenzy Sana mashabiki fake wa andunjeeeSi kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!
Kifupi, kama ningekuwa Kiev Jana Ramos nilikuwa navunja miguu kwa Bastola tu, Kenchtype...Dadeeeek!!!!
Rudia tena kutukana hapa hapa!!!! Usichanganye na maneno mengine....just weka tusi. Nafikiri uminielewa....Mnataka super captain afanyeje?? Angemuua kabsa mngesemaje?? Shenzy Sana mashabiki fake wa andunjeeeView attachment 787657
Ndio hivyo huto tu Salah Ni ka bwana mdogo Sana kwa almighty Sergio Ramos, kombe la 3 kibindoni!Rudia tena kutukana hapa hapa!!!! Usichanganye na maneno mengine....just weka tusi. Nafikiri uminielewa....
Nimekwambia, rudia kutukana tena hapa hapa!!!!! Just weka tusi pekee ili twende sawa.!!!! wewe weka tusi tu....nakuomba emu Fanya hivyo basi....Ndio hivyo huto tu Salah Ni ka bwana mdogo Sana kwa almighty Sergio Ramos, kombe la 3 kibindoni!
Ili iwe Nini??Nimekwambia, rudia kutukana tena hapa hapa!!!!! Just weka tusi pekee ili twende sawa.!!!! wewe weka tusi tu....nakuomba emu Fanya hivyo basi....
wewe si bingwa wa matusi??? siyo??? Ongea kila unachijisikia lakini USITUKANE. Andika kila kitu unachofikiria lakini siyo MATUSI.Ili iwe Nini??
Well said. Watu wanajua mpira ni kucheza danadana tu.Unajua watu jana walienda na matokeo yao mfukoni.
Mpira ni tacticts, sio kumbelezana, mnalalamika ramos kacheza rafu, yes , maybe but that the job... kodhoofisha timu pinzani .
Mlitaka ramos ampige busu salah?
Si shabikii alichokifanya ramos, but hizo ndio mbinu. Wkt mwingine ili kushinda, lazima tim au mchezaji aende mbali ya fairplay, acheze extra games...
Mkuu tunawekeana bastola shingo au?? Hahahahahaha! Unachekesha wewe!wewe si bingwa wa matusi??? siyo??? Ongea kila unachijisikia lakini USITUKANE. Andika kila kitu unachofikiria lakini siyo MATUSI.
Kama HAIWEZI KUWA NINI wewe rudia kutukana tena kama ulivyofanya hapo juu....
Unaweza tuambia kwa nini picha ya pili Mo Salah kachomeka mkono wake hapo?unaweza kuniambia kwanini picha ya kwanza ramos kaung'ang'ania mkono hadi chini na akamaliza kwa kuulalia eti tu kwamba salah aliu lock mkono wake kwenye mkono wa ramos?!
Basi sawa. Wewe furahia ushindi tu na siyo matusi. Ni hayo tu.Mkuu tunawekeana bastola shingo au?? Hahahahahaha! Unachekesha wewe!
Wengine hapa Ni hasira za kuliwa na mhindi Wala sio lingine!
Hivi mngepata kadi nyekundu hii mechi si mngeua mtu??Ramos alifanya makusudi kinachoshangaza mwamuzi alikuwa karibu lakini hakujali.Ile ni tabia ya Ramos,ana mambo ya kihuni ,alifanya hivyo baada ya kuona hali ni mbaya kwao.
Acha shoboo wwBasi sawa. Wewe furahia ushindi tu na siyo matusi. Ni hayo tu.
Hiki ndiyo nilikuwa nakitakata. Nashukuru sana Mkuu...Acha shoboo ww
Most Red Carded Player in La Liga History,,,,
He is experienced,,,technically skilled ,,strong,,,
He Knew exactly what he was doing,,,,,
Remember,,,He is the Best Defender of all time,,,,
Kwa experience zangu Ramos sio mchezaji wa maana kabisa. Ni mara ngapi huwa anamchezeaga Messi rafu za makusudi kabisa.Kazi ya ramos ni defensing hivyo alichokifanya ni kumzuia adui that's all. Weather alifanya bahati mbaya au kusudi lakini alikuwa anafanya kazi yake.
•Technically
•Defensive
•Aggresive
•Stongest
Nadhan umejushajua Mo sarah alikutana na jitu la namna gani.
Mpira wa miguu sio kula maandazi au biscuits.Kwa experience zangu Ramos sio mchezaji wa maana kabisa. Ni mara ngapi huwa anamchezeaga Messi rafu za makusudi kabisa.
Kwahiyo elewa uchezaji wa Ramos sio wa kistaarabu.
Ni ms**** Tu huyu. Anataka kuharibu na kuumiza wachezaji.
Mkuu Sisi mashabiki tunaendaga uwanjani kuangalia burudani. Hatuendi kuangalia mieleka pale.Mpira wa miguu sio kula maandazi au biscuits.
Mpira wa miguu ni vita.
Wewe unafikiri s.ramos angewacha Mo sarah apite ingekuwaje kwa mashabiki wa real madrid?
kwahiyo ulitakaje labda??Umeandika mengi ila ni ujinga tu..faulo ngapi waamuzi huziacha na kuzua lawama!?,..kabla salah hajatoka hali ya mchezo ilikuaje?!..salah mfupi anaanzaje kuingiza mkono ndani ya mkono wa ramos!!?..alianza marcelo kucheza rafu kwa sala mara mbili..hazikwenda kama alibotarajia