inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Huo mkono wa ramos mbona umepinda kama anampiga mtu kiwiko!?..alipotega mkono hivoni lazma mkono wa salah uwe ndani hivo,huenda alilifanyia mazoezi hili,sasa baada ya hapo kaung'ang'ania had chini halafu akabilingika juu yake..ni kusudi,hii si mbinu ya mpira bali uwoga unaotokana na kukosa uwezoKwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundu
Ebu angalia mwanzon kabisa hili tukio lilikuwaje hadi kuangaka na kuvunjika bega
Mim naona izo ni technc za mchezo tuuuView attachment 787466