Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Kwa bahat nzur nimefatilia kwa umakin sana hilo tukio ukisema tukio la kinyama ina mana ramos alistahil kadi nyekundu

Ebu angalia mwanzon kabisa hili tukio lilikuwaje hadi kuangaka na kuvunjika bega

Mim naona izo ni technc za mchezo tuuuView attachment 787466
Huo mkono wa ramos mbona umepinda kama anampiga mtu kiwiko!?..alipotega mkono hivoni lazma mkono wa salah uwe ndani hivo,huenda alilifanyia mazoezi hili,sasa baada ya hapo kaung'ang'ania had chini halafu akabilingika juu yake..ni kusudi,hii si mbinu ya mpira bali uwoga unaotokana na kukosa uwezo
 
ok basi tusubiri official release ya majibu ya daktari nadhani atakua proud sana kama ikigundulika kavunjika bega
Kwakweli itapendeza Sana Kama atakuwa amevunjika bega na shingo kabsa maana sioni mnacholalamikia hapa!
 
Si kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!

Kifupi, kama ningekuwa Kiev Jana Ramos nilikuwa navunja miguu kwa Bastola tu, Kenchtype...Dadeeeek!!!!
Mnataka super captain afanyeje?? Angemuua kabsa mngesemaje?? Shenzy Sana mashabiki fake wa andunjeee
IMG-20180527-WA0003.jpg
 
Rudia tena kutukana hapa hapa!!!! Usichanganye na maneno mengine....just weka tusi. Nafikiri uminielewa....
Ndio hivyo huto tu Salah Ni ka bwana mdogo Sana kwa almighty Sergio Ramos, kombe la 3 kibindoni!
 
Ndio hivyo huto tu Salah Ni ka bwana mdogo Sana kwa almighty Sergio Ramos, kombe la 3 kibindoni!
Nimekwambia, rudia kutukana tena hapa hapa!!!!! Just weka tusi pekee ili twende sawa.!!!! wewe weka tusi tu....nakuomba emu Fanya hivyo basi....
 
Ili iwe Nini??
wewe si bingwa wa matusi??? siyo??? Ongea kila unachijisikia lakini USITUKANE. Andika kila kitu unachofikiria lakini siyo MATUSI.

Kama HAIWEZI KUWA NINI wewe rudia kutukana tena kama ulivyofanya hapo juu....
 
Unajua watu jana walienda na matokeo yao mfukoni.
Mpira ni tacticts, sio kumbelezana, mnalalamika ramos kacheza rafu, yes , maybe but that the job... kodhoofisha timu pinzani .

Mlitaka ramos ampige busu salah?
Si shabikii alichokifanya ramos, but hizo ndio mbinu. Wkt mwingine ili kushinda, lazima tim au mchezaji aende mbali ya fairplay, acheze extra games...
Well said. Watu wanajua mpira ni kucheza danadana tu.
 
wewe si bingwa wa matusi??? siyo??? Ongea kila unachijisikia lakini USITUKANE. Andika kila kitu unachofikiria lakini siyo MATUSI.

Kama HAIWEZI KUWA NINI wewe rudia kutukana tena kama ulivyofanya hapo juu....
Mkuu tunawekeana bastola shingo au?? Hahahahahaha! Unachekesha wewe!

Wengine hapa Ni hasira za kuliwa na mhindi Wala sio lingine!
 
unaweza kuniambia kwanini picha ya kwanza ramos kaung'ang'ania mkono hadi chini na akamaliza kwa kuulalia eti tu kwamba salah aliu lock mkono wake kwenye mkono wa ramos?!
Unaweza tuambia kwa nini picha ya pili Mo Salah kachomeka mkono wake hapo?
Jibu utalopata picha yq pili ndio jibu la picha ya kwanza.
 
Mkuu tunawekeana bastola shingo au?? Hahahahahaha! Unachekesha wewe!

Wengine hapa Ni hasira za kuliwa na mhindi Wala sio lingine!
Basi sawa. Wewe furahia ushindi tu na siyo matusi. Ni hayo tu.
 
Ramos alifanya makusudi kinachoshangaza mwamuzi alikuwa karibu lakini hakujali.Ile ni tabia ya Ramos,ana mambo ya kihuni ,alifanya hivyo baada ya kuona hali ni mbaya kwao.
Hivi mngepata kadi nyekundu hii mechi si mngeua mtu??
11 vs 11, mnatoka povu la hatari. Hii ndio maana mimi nilitaka liver wafungwe maana mnajifanya mnajua sana kuongea, katoka Mo Salah kwa faulu ya kawaida tu ila bahati mbaya timu nzima imeshindwa cheza sababu ya kutegemea mtu mmoja, sasa mnatafuta mchawi!
Na mpigwe tu, msimu wa tatu huu kwa Klopp akiwa Liver, kwa gundu na midomo ya mashabiki wa liver, ataendelea kuchukua ubingwa wa gengen pressing tu.
 
Most Red Carded Player in La Liga History,,,,


He is experienced,,,technically skilled ,,strong,,,


He Knew exactly what he was doing,,,,,


Remember,,,He is the Best Defender of all time,,,,

vipi swaum imekukaa au vipi? naona umeanza kuropokwa
 
Kazi ya ramos ni defensing hivyo alichokifanya ni kumzuia adui that's all. Weather alifanya bahati mbaya au kusudi lakini alikuwa anafanya kazi yake.

•Technically
•Defensive
•Aggresive
•Stongest

Nadhan umejushajua Mo sarah alikutana na jitu la namna gani.
Kwa experience zangu Ramos sio mchezaji wa maana kabisa. Ni mara ngapi huwa anamchezeaga Messi rafu za makusudi kabisa.
Kwahiyo elewa uchezaji wa Ramos sio wa kistaarabu.

Ni ms**** Tu huyu. Anataka kuharibu na kuumiza wachezaji.
 
Kwa experience zangu Ramos sio mchezaji wa maana kabisa. Ni mara ngapi huwa anamchezeaga Messi rafu za makusudi kabisa.
Kwahiyo elewa uchezaji wa Ramos sio wa kistaarabu.

Ni ms**** Tu huyu. Anataka kuharibu na kuumiza wachezaji.
Mpira wa miguu sio kula maandazi au biscuits.

Mpira wa miguu ni vita.

Wewe unafikiri s.ramos angewacha Mo sarah apite ingekuwaje kwa mashabiki wa real madrid?
 
Mpira wa miguu sio kula maandazi au biscuits.

Mpira wa miguu ni vita.

Wewe unafikiri s.ramos angewacha Mo sarah apite ingekuwaje kwa mashabiki wa real madrid?
Mkuu Sisi mashabiki tunaendaga uwanjani kuangalia burudani. Hatuendi kuangalia mieleka pale.
Beki ukipitwa na forward tunasubiri tuone uhodari wa kipa langoni.
Sasa we ukipitwa unapiga mieleka.

Ile sio football hata kdg.
Am telling you that.
 
Umeandika mengi ila ni ujinga tu..faulo ngapi waamuzi huziacha na kuzua lawama!?,..kabla salah hajatoka hali ya mchezo ilikuaje?!..salah mfupi anaanzaje kuingiza mkono ndani ya mkono wa ramos!!?..alianza marcelo kucheza rafu kwa sala mara mbili..hazikwenda kama alibotarajia
kwahiyo ulitakaje labda??
 
Back
Top Bottom