BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Pole sana ndugu yetu Salaha...tuko nyuma yetu bro,,Mungu akuponye haraka uitumikie timu yako ya taifa kwa bwana Puttin....Argentina/egypt and Morroco.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipokua unaandika yako ulikua unata kuwaweka watu kwenye mawazo ya nani!?ulivyosema nimeandika ujinga kwa maana wewe ndiyo ulikuwa sahihi kwamba ulikuwa unanisahihisha huoni kama ulikuwa unaniweka kwenye mawazo yako??
let's end here lad
Aliyeanza kumuwekea mkono mwenzake ndiye aliyekusudia. Ramos ali react tuRamos alikisudia kucheza ile faulo ila hakukusudia(dhamira) kumuumiza
Mbona mpira ulikua ni mzuri tu na hata alipotoka Salah aliingia mwingine! Au walibaki wachezaji 21 uwanjani?Hamna anayemlalamikia Ramos. Hapa tunaongeaga ukweli Tu.
Mechi ya Jana watu wameenda kuangalia burudani itakayotolewa na wachezaji wote 22 Kwa kila upande.
Sasa we kumuumiza mchezaji mwingine Kwa makusudi unategemea nini.
Ndio mana unaona watu wanampa lawama hasa yeye Kwa kuwa mechi ya Jana ilikuwa ina uzito wake zaidi.
Mbona akimchezeaga rafu Messi huwa inapotezewa Tu kawaida.
Kumkosa Mo Jana kuna kitu kilipungua.
Yule ni mchezaji wa muhimu Sana.
Tuache ushabiki wa kimaandazi.
Elewa alichokifanya Ramos sio cha kiungwana.
Umeona Nani ameunga mkono Kwa aliyoyafanya.
Endelea kujipa moyo, ndoo ya 13 na imewekwa kwenye historia. Mo Salah ni nani kwa Madrid wasifurahie ubingwa wa jasho lao?? Aliumizwa CR7 europe cup na maisha yakaendelea, alipewa kadi nyekundu BECKHAM wa Uingereza kombe la dunia na maisha yakaendelea sembuse Mo Salah huyu ambaye bado hajashinda hata kombe moja??
Povu anatoa aliyeumizwa na kipigo cha jana sio mimi, mimi nimefurahishwa na Liver kuukalia.
Angalia hii kitu hapa kisha uendelee kujipa moyo kuwa Madrid hawajasherehekea.
Endelea kujipa moyo!
Hii video clip ya chini NAWAKUMBUSHA MACHUNGU YA JANA, tutasiriba chumvi kwenye hivyo kidonda mpaka kipone sasa.
profeshionaslism at its best.Technic za kuvunjana mabega ?
Alichofanya Ramos ni upumbavu
Mkuu utakuwa umeanza kuangalia mpira mwaka 2015. Unasemaje Ramos ni beki bora wa wakati wote? Pengine hujawahi kumuona Maldini akicheza, pengine hujawahi kumuona Franco Baresi na pengine hujawahi kumuona Franz Backenbeur akicheza.Most Red Carded Player in La Liga History,,,,
He is experienced,,,technically skilled ,,strong,,,
He Knew exactly what he was doing,,,,,
Remember,,,He is the Best Defender of all time,,,,
Maana yake ni kwamba Sergio Ramos anaingia katika kundi hilo ambalo lina wachezaji wengine ulio waacha kama Cafu, Roberto Carlos, Carles Puyol, Baresi, Mauro Ramos, Bobby Moore, Elias Figueroa, Leovegildi Lins Da Gama Junior, Carlos Alberto Torres, Frank Rijkaard, Fabio Cannavaro, Danniel Passarerra, Lilian Thuram, Nemanja Vidic na wengineoMkuu utakuwa umeanza kuangalia mpira mwaka 2015. Unasemaje Ramos ni beki bora wa wakati wote? Pengine hujawahi kumuona Maldini akicheza, pengine hujawahi kumuona Franco Baresi na pengine hujawahi kumuona Franz Backenbeur akicheza.
Kwa hiyo Sergio Ramos siyo mchezaji? Unataka ukasajiriwe wewe badala yake?hamna mbinu ya mpira inayoruhusu rafu ..hata makocha wa mtaani haezi mwelekeza beki kua acheze rafu
Kama uliangalia vizuri Ramos alikuwa anaanguka chini huku akiangalia upande tofauti na alipoangukia Salah, hivyo wala hakuona kama anamuumiza mwenzake.Si kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!
Kifupi, kama ningekuwa Kiev Jana Ramos nilikuwa navunja miguu kwa Bastola tu, Kenchtype...Dadeeeek!!!!
Ahsante unenisaidia,,,kujibu watu wenye uelewa mdogo kazi sana,,Maana yake ni kwamba Sergio Ramos anaingia katika kundi hilo ambalo lina wachezaji wengine ulio waacha kama Cafu, Roberto Carlos, Carles Puyol, Baresi, Mauro Ramos, Bobby Moore, Elias Figueroa, Leovegildi Lins Da Gama Junior, Carlos Alberto Torres, Frank Rijkaard, Fabio Cannavaro, Danniel Passarerra, Lilian Thuram, Nemanja Vidic na wengineo
Ila lazima wangepata mchawi wa kumbebesha lawama.Ile mechi hata huyo salah angekuwepo muda wote, Liverpool walikua wanapoteza.
Hapa ni kwamba mpira huu ni matokeo ya kuangalia sana mechi ktk tv kulikobkuwa uwanjani, hivi vitu vya kawaida sana kama umecheza/ unacheza mpira. Mpira ni contact sport, sio kama tennis. Ajali zatokea kibao.Mwamuzi Caynet cakiri aliwahi kumzawadia red card Luis Nani kwa kumchezea rafu ya kipumbavu hivyo Alvaro albeloa kwenye robo fainali kati ya madridi na Man U old Trafford .
Nani alinyanyua mguu kupokea mpira Albeloa akiingia mzima mzima baada ya contact ya mguu wa Nani na Tumbo la Albeloa Nani aliongeza force kwenye mguu kusukuma badala ya kupokea mpira tu.
Refa alitoa red card.
Yawezekana kabisa wakati wanalock arms hakua na intention to injure lakini baada ya kumuona salah yuko kwenye dangerous position Ramos akatumia advatage hiyo hivyo ana intention to injure ikawa formulate in his mind
Kuumia kwa salah kumegeuka sababu kuu ya wao kushindwa, ila hawakuwa katika nafasi ya kufanya hivyo hata kama angekuwepo.Ila lazima wangepata mchawi wa kumbebesha lawama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli kabisasio hao tu...View attachment 787547
Kwenye mchezo huo kule Spain anaitwa "THE BEAST"