Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Tuzungumzie alichofanya Ramos kwa Salah

Pole sana ndugu yetu Salaha...tuko nyuma yetu bro,,Mungu akuponye haraka uitumikie timu yako ya taifa kwa bwana Puttin....Argentina/egypt and Morroco.
 
ulivyosema nimeandika ujinga kwa maana wewe ndiyo ulikuwa sahihi kwamba ulikuwa unanisahihisha huoni kama ulikuwa unaniweka kwenye mawazo yako??

let's end here lad
Ulipokua unaandika yako ulikua unata kuwaweka watu kwenye mawazo ya nani!?
 
Ramos alikisudia kucheza ile faulo ila hakukusudia(dhamira) kumuumiza
 
Hamna anayemlalamikia Ramos. Hapa tunaongeaga ukweli Tu.
Mechi ya Jana watu wameenda kuangalia burudani itakayotolewa na wachezaji wote 22 Kwa kila upande.
Sasa we kumuumiza mchezaji mwingine Kwa makusudi unategemea nini.

Ndio mana unaona watu wanampa lawama hasa yeye Kwa kuwa mechi ya Jana ilikuwa ina uzito wake zaidi.

Mbona akimchezeaga rafu Messi huwa inapotezewa Tu kawaida.

Kumkosa Mo Jana kuna kitu kilipungua.
Yule ni mchezaji wa muhimu Sana.

Tuache ushabiki wa kimaandazi.
Elewa alichokifanya Ramos sio cha kiungwana.
Umeona Nani ameunga mkono Kwa aliyoyafanya.
Mbona mpira ulikua ni mzuri tu na hata alipotoka Salah aliingia mwingine! Au walibaki wachezaji 21 uwanjani?
 
Endelea kujipa moyo, ndoo ya 13 na imewekwa kwenye historia. Mo Salah ni nani kwa Madrid wasifurahie ubingwa wa jasho lao?? Aliumizwa CR7 europe cup na maisha yakaendelea, alipewa kadi nyekundu BECKHAM wa Uingereza kombe la dunia na maisha yakaendelea sembuse Mo Salah huyu ambaye bado hajashinda hata kombe moja??

Povu anatoa aliyeumizwa na kipigo cha jana sio mimi, mimi nimefurahishwa na Liver kuukalia.

Angalia hii kitu hapa kisha uendelee kujipa moyo kuwa Madrid hawajasherehekea.


Endelea kujipa moyo!



Hii video clip ya chini NAWAKUMBUSHA MACHUNGU YA JANA, tutasiriba chumvi kwenye hivyo kidonda mpaka kipone sasa.

Ni wapuuzi peke yao wangeweza kufikiri matokeo yangewapa ushindi Liverpool dhidi ya Real Madrid.
Waafrika zao ni kulalamika hovyo tu, ndiyo hawa waliokua wanapiga kelele kumlalamikia Suarez alivyoudaka mpira ulikua unakwenda golini kule south africa
 
Most Red Carded Player in La Liga History,,,,


He is experienced,,,technically skilled ,,strong,,,


He Knew exactly what he was doing,,,,,


Remember,,,He is the Best Defender of all time,,,,
Mkuu utakuwa umeanza kuangalia mpira mwaka 2015. Unasemaje Ramos ni beki bora wa wakati wote? Pengine hujawahi kumuona Maldini akicheza, pengine hujawahi kumuona Franco Baresi na pengine hujawahi kumuona Franz Backenbeur akicheza.
 
Mkuu utakuwa umeanza kuangalia mpira mwaka 2015. Unasemaje Ramos ni beki bora wa wakati wote? Pengine hujawahi kumuona Maldini akicheza, pengine hujawahi kumuona Franco Baresi na pengine hujawahi kumuona Franz Backenbeur akicheza.
Maana yake ni kwamba Sergio Ramos anaingia katika kundi hilo ambalo lina wachezaji wengine ulio waacha kama Cafu, Roberto Carlos, Carles Puyol, Baresi, Mauro Ramos, Bobby Moore, Elias Figueroa, Leovegildi Lins Da Gama Junior, Carlos Alberto Torres, Frank Rijkaard, Fabio Cannavaro, Danniel Passarerra, Lilian Thuram, Nemanja Vidic na wengineo
 
hamna mbinu ya mpira inayoruhusu rafu ..hata makocha wa mtaani haezi mwelekeza beki kua acheze rafu
Kwa hiyo Sergio Ramos siyo mchezaji? Unataka ukasajiriwe wewe badala yake?
Mwambieni Sara kwamba aende Italy akajifunze ukakamavu kama anataka kuendelea kuwa striker mwenye mafanikio halafu ndiyo atoke na kurudi England. Otherwise ataishia kuwa mchezaji wa msimu mmoja au misimu miwili tu.
Hata sisi ilitubidi kumpeleka Alvaro Morata Italia ili akajifunze ukakamavu na kukomaa. Rinaldo de Lima alikua ana majeraha kwa misimu mitatu kule Italia na ilionekana kama vile soka lake linaelekea ukingoni, lakini Madrid tulipomchukua, dunia ina kumbukumbu nzuri ya kilichotokea kuliko mimi.
M0elekene Mwajuma..ah ah sorry I mean Salah Italia kama bado mnamhitaji.
 
Si kweli kwamba haikuwa faulo. Kilichotokea ni kwamba Refa hakuona. Pia si kwamba Salah ndiyo aliingiza mkono kwa Ramosi. Hata kama ni kweli kwamba Salah ndiyo alianza kuingiza mkono kwa Ramos kwanini aliung'ang'nia mkono wa Salah hadi chini wanabilingika bado kaubana kabali tu!!!!

Kifupi, kama ningekuwa Kiev Jana Ramos nilikuwa navunja miguu kwa Bastola tu, Kenchtype...Dadeeeek!!!!
Kama uliangalia vizuri Ramos alikuwa anaanguka chini huku akiangalia upande tofauti na alipoangukia Salah, hivyo wala hakuona kama anamuumiza mwenzake.
Pili, wakati anaanguka ilikuwa ni lazima ashike kitu ili asianguke vibaya, hiyo ni natural instincts, kama mtu anapozama kwenye maji anaweza kukamata jani ili asizame.
Ile ilikuwa ni bahati mbaya na ndio maana refa japo aliona tukio lakini alijua kuwa haikuwa rafu.
 
Maana yake ni kwamba Sergio Ramos anaingia katika kundi hilo ambalo lina wachezaji wengine ulio waacha kama Cafu, Roberto Carlos, Carles Puyol, Baresi, Mauro Ramos, Bobby Moore, Elias Figueroa, Leovegildi Lins Da Gama Junior, Carlos Alberto Torres, Frank Rijkaard, Fabio Cannavaro, Danniel Passarerra, Lilian Thuram, Nemanja Vidic na wengineo
Ahsante unenisaidia,,,kujibu watu wenye uelewa mdogo kazi sana,,
 
Mwamuzi Caynet cakiri aliwahi kumzawadia red card Luis Nani kwa kumchezea rafu ya kipumbavu hivyo Alvaro albeloa kwenye robo fainali kati ya madridi na Man U old Trafford .
Nani alinyanyua mguu kupokea mpira Albeloa akiingia mzima mzima baada ya contact ya mguu wa Nani na Tumbo la Albeloa Nani aliongeza force kwenye mguu kusukuma badala ya kupokea mpira tu.
Refa alitoa red card.
Yawezekana kabisa wakati wanalock arms hakua na intention to injure lakini baada ya kumuona salah yuko kwenye dangerous position Ramos akatumia advatage hiyo hivyo ana intention to injure ikawa formulate in his mind
Hapa ni kwamba mpira huu ni matokeo ya kuangalia sana mechi ktk tv kulikobkuwa uwanjani, hivi vitu vya kawaida sana kama umecheza/ unacheza mpira. Mpira ni contact sport, sio kama tennis. Ajali zatokea kibao.
 
Kwenye mchezo huo kule Spain anaitwa "THE BEAST"

Ni kweli ni "BEAST"...Ni mchezaji hatari na mwenye nguvu, mbinu, ujanja, uzoefu, kasi na kadhalika...siipendi kabisa Real Madrid...mimi ni mshabiki wa Liverpool piga ua ....lakini SERGIO RAMOS namkubali tangu zamani...ni aina ya mchezaji anayetakiwa na kila timu...defender anayeweza kufunga...kabla ya Karius kuwapa Real bao la kwanza RAMOS alimfanyia rafu kipa huyo...kumbuka RAMOS huwa anapata pia kadi nyingi za RED lakini jamaa huwa 'hajifunzi'...anajituma kwa ajili ya timu...ni 'mhuni' kiuchezaji, mbabe na mlinzi wa soka wa 'kileo'...zamani alikuwa 'anasingiziwa' na mambo fulani ya neno lenye herufi tano...
 
Back
Top Bottom