Tuzungumzie hili bifu lililowahi kutokea kati ya Langa na Jay Moe

Man to man chidi benzi langa dimbani....
Nambie kama refarii record hii ya forty one....
Ado ado mdogo mdogo..........
............ ............ ........... .........
........... ............ ........... ..........
Nna mashuti zaidi ya Wayne rooney....
Km DJ nyimbo yako weka kaapunii.....
hautochezwa tena no kiwango weka kaapuni....
Chi chi chidi goo mtoto wa ilala komandoo love kwa wanangu wa ilala ...............

Chorus....

Nnaposimama hawasimami
Nnapochana hawachani
Nnavofanya hawafanyi......
......... ............ ...........

Bonge moja la colabo
Bonge moja la beat

enzi hizo bongo crank ndo imeingia.....

Daaaaah!!!!!!
 
"Sio Yule atakaye kimbia na kugeuka mwanariadha na adui wakivamia km Bou na da hustler"

Mwenye kujua ukweli juu ya hii line atupe
Me kw uelewa wangu nafikiri n kipindi kile ule ugomvi wa pina na Bou nako da hustler alikimbia kukwepa msala
 
Kaka voda wambie wadogo zako waache kula poda watumie mmea.......

Ova
 
Kaka voda wambie wadogo zako waache kula poda watumie mmea.......

Ova
Wao wakimwaga ugali sie tunamwaga mboga amani kwa kaka voda - Babuu Kitaa ft Langa , Mchizi Mox - Kimbia
 
Asante mkuu umemaliza
 
Juma mchopanga a.k.a Jay Moe,Albert Mangwea a.k.a Mimi na Rashid Makwilo a.k.a Chidi Benzi ndio wasaniii Bora kuwahi kutokea tz wakifatiwa na Juma Nature a k.a Saaa Necha a.k.a Kibla
 
Dah mzee huyo Voda millionaire ni brother ambae alikuwa anpiga kazi voda na kwa kipindi hicho alikuwa bonge la Don full magari ya voda kwahyo alikuwa anawasupport hao majamaa kwenywe mziki wao kama brother baada ya moe kugundua langa anapiga mapoda alimpa habari huyo brother(kaka mkubwa wa kundi na supporter wao) taarifa zikamrudia langa kuwa moe kamchoma wakati ilikuwa siri yake, wakazinguana na hapo ndo bifu likaanza. Voda millionaire kuja kugundua langa ni teja too Late kijana ashapotea mazma... All I know.
Ngoma hiyo ya jay moe inaitwa jipange..kingo'ko ni mikocheni kwa kina babuu,langa,..na voda millionaire ni drug dealer mitaa hiyo..tena Don..hayo yanatosha tusije kutaftana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…