Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
ukiniona msafi chokoza uone moto,sitokei Masaki natokea King'oko"Langa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ile flow bas swafiukiniona msafi chokoza uone moto,sitokei Masaki natokea King'oko"Langa
Alichokakisema young killer kuhusu job makin vipiukiniona msafi chokoza uone moto,sitokei Masaki natokea King'oko"Langa
Na ile flow bas swafiukiniona msafi chokoza uone moto,sitokei Masaki natokea King'oko"Langa
Nani Killer and Joah Making I don't give a damn bout em..sihusiki nao..Alichokakisema young killer kuhusu job makin vipi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mtu Jana kanitajia Nay wa mitego aisee nilichefukaNani Killer and Joah Making I don't give a damn bout em..sihusiki nao..
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji378]Song: Rafiki wa kweli
Artist: Langa
(verse 1🙂
Chakwake chakwako,chakwako cha kwake
Pamoja wakati wote kama kidole na pete
Sio lazima awe ndugu hata mtu wa mbali
Ukiumia anaskia uchungu anajali kwa kila hali
Tenda wema nenda zako,atayekulipa Mungu
Sio unawekeza ulipwe usipolipwa majungu
Unanichekea usoni unananipondea kisogoni
Kuwa mkweli na mwazi keep it real wit your homies
Sio yule atayekuficha kama demu wako hajatulia
Kisa siku zilizopita yeye pia alimpitia
Sio yule atayekimbia na kugeuka mwanariadha
Maadui wakivamia kama Bou na Da hustler
Rafiki batili,hawezi tunza siri
Kilemba cha ukoka nyoka ndumilakuwili
Sio tu kunywa na kumoka urafiki kupeana dili
Namna gani nizalishe 50 iwe 200
(Chorus)
Rafiki wa kweli,akufaaye kwa dhiki
Sio tu kwenye riziki au unapozimeki
Rafiki wa kweli, Kama mwili na kivuli
kwa mabaya au mazuri
Kwenye mvua ye mwamvuli
(verse 2)
Rafiki wa kweli sio tu kwenye riziki
Maana baada ya faraja unaweza rudi kwenye dhiki
Sio tu hali ngumu hakuna upendo wa kweli
That’s why makundi hayadumu waulize 2 berry
Nachotaka maishani mwangu namtakia mwanangu
Nachomtakia mama yangu ndo namtakia mke wangu
Nikimiliki range mwana namsusia pajero
Nikiwa na buku ana haki ya kuniomba jero
Tunagombana tunapatana tunaangalia mbele
Hatukumbushii ya jana yaliyopita si ndwele
Atakuwa glass ya maji ushikwapo na kiu
Katikati ya jangwa lisilo na mazao
Atakuwa asali na utamu kati ya limao
Wakati wa vita,atakulinda kama ngao
Na atakayekugusa,atamwinda mpaka kwao
Kushinda ama kushindwa ama zenu ama zao
(chorus)
(verse 3)
Marafiki zangu wa kweli sitowaacha milele
Ufukara au utajiri tutashirikiana kama nyenyele
Kwa miguu au usafiri,tutapiga misele
Majungu sitojali,we chonga sisi tutasonga mbele
Ukimgusa mwanangu umenigusa mimi
Ukimgusa mama yangu jua hatima yako kaburini
Nitakusaka uraiani kama nyoka wa kijani
Nafata miiko ya kitaani sikimbilii umwelani
Sitojali wewe nani haki itendeke mwishoni
Hata nikifa mbioni, nitakuibukia ndotoni
Kwa ajili ya rafiki zangu nipo tayari kuanzisha msala
Tayari kupata hasara kula mtaji wa biashara
Ukirukiwa na mamwela sitokubali ulale jela
Nina upendo wa ajabu unaozidi thamani hela
Najua wanangu masela watu wa mikasa na msala
Wanangu siwadai centi, noti, wala dala
Asikilizae hii track ajiulize kama yeye rafiki
Na kama ni mnafiki usinipe hata tano street
Hapo kwamba ndo msanii pekee bongo mwenye uwezo wa kurap kiingereza na kumake sense ....hapo umefail fatilia historia ya rap tz walikua wanachana sana ngeli miaka iyoo kabla mr II hajaleta revolution kwa kuchana kiswahili saiv ndo usipime kuna watoto hao balaa incredible, wakazi, zilla etc utasema wamekulia Brooklyn New YorkLicha ya midondoko,jamaa alikua na mashairi matamu sana,pia ndio msanii pekee bongo mwenye uwezo wa kurap kwa kingleza na bado mistari ika make sense...
DuuuuhhLakini langa kwani ni mboga 7 alikuwa kawekewa bili ya ngada na mother ake sio kama chid
Sure mkuuDuuuuhh
Usingizi ndugu yake kifo usipende kulalaNatumia akili, ustaarabu na subira
Situmii mwili jazba na hasira
Mapinduzi zaidi, msimamo ka Che Guevara
Ngada mbaya sanaaaa...
Wakazi na zilla ni pumba kabisa bora moko wa miujizaHapo kwamba ndo msanii pekee bongo mwenye uwezo wa kurap kiingereza na kumake sense ....hapo umefail fatilia historia ya rap tz walikua wanachana sana ngeli miaka iyoo kabla mr II hajaleta revolution kwa kuchana kiswahili saiv ndo usipime kuna watoto hao balaa incredible, wakazi, zilla etc utasema wamekulia Brooklyn New York
Hujanielewa,me nazungumzia zama hizi,sio zamani hizo..historia inajulikana mziki ulianza na english.. KU..diplomatz..tafuta nyimbo ya José mtambo AM OLD SCHOOL kazungumzia vizuri habari hiiHapo kwamba ndo msanii pekee bongo mwenye uwezo wa kurap kiingereza na kumake sense ....hapo umefail fatilia historia ya rap tz walikua wanachana sana ngeli miaka iyoo kabla mr II hajaleta revolution kwa kuchana kiswahili saiv ndo usipime kuna watoto hao balaa incredible, wakazi, zilla etc utasema wamekulia Brooklyn New York