Naflow kwa kingereza, naflow kwa Kiswahili, naflow kwa lugha mbili hata jigga hanipati.
Hata jigga haniwezi me na flow kwa lugha mbili
Nakula kaya nyingi kama vile Nyahbinghi
Najua mambo mengi naweza kumfundisha dingi
Mc namba one
Mfalme wa mitaani
Wapinzani nawapiga vichwa kama zidane
Nakueleza mambo usiyofundishwa darasani
I'm a bad man,rudebwoy a run tings
Every other day I'm up to something
I'm a bad man rudebwoy a run tings
Wherever you go remwmber one ting
I'm hustler,you are just another customer
Nakutoa kafara ukitaka kuleta uhasama
Me ni master nawakilisha kama ambassador
Elimu dunia,kidogo elimu akhera
Niko so high haunifikii hata kwa antena
Nina plan ya kuuza album,
Kama icecream za azam,
Wakigusa tu wananasa sababu mzigo mtamu
Zam zam,yako imepita sasa yangu ina-come
Hatulipii goli serikali haitufahamu
Napenda mikwanja kama mangi wa kichaga
So na-supply maujanja mistari yenye ladha
Wanaongelea pamba kumbe famba kariakoo
Wanaongelea ganja kumbe hawajui hata ku-roll
Gangster gangster tokeo kwenye roho,
Bad man na hardcore,rough-ragga n roll