TV 15 zaibwa hospitalini Njombe. Mkuu wa mkoa azunguka mitaani kuzisaka

TV 15 zaibwa hospitalini Njombe. Mkuu wa mkoa azunguka mitaani kuzisaka

Kuna vitu vingine vinashangaza sana unaiba tv za nini! Hii nchi uzalendo ulishakufa kabisa sijui tunarudije enzi za mwalimu
Ifike muda ofisi na taasisi zote za serikali kufungwe cctv cameras.
 
Nimewahi kufika hapo mpaka sasa najiuliza zimeibiwaje kwanza ni hospital ina utulivu sana na kila kitu wamejitahidi sana kukipangilia vizuri.
 
Ifike muda ofisi na taasisi zote za serikali kufungwe cctv cameras.
Wakifanya hivyo itasaidia sana kupunguza rushwa, wizi, uonevu, ufisadi na kuongeza uwajibikaji.

Receptions za vituo polisi, TRA, mahakama, halmashauri, wizara, serikali za mtaa, reception za hospitali, shule zote ziwekee camera, polisi, polisi wa barabarani wavae camera.
 

=======
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu wa Idara ya manunuzi pamoja na wenye duka.
Kwanza TV 15 zote za nini kwa hospitali moja?
Na huyo mkuu wa mkoa naye hamnazo, Tv zimeibiwa Julai, yeye anaenda kuzurura madukani leo, miezi minne baada ya kuibiwa. Siku zote alikuwa wapi? Bora apigwe chini, akalime nyanya kama mwenzake Hapi
 

=======
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amemuelekeza Katibu Tawala wa Mkoa huo kuwasimamisha kazi baadhi ya Watumishi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe akiwemo Katibu wa Afya, Watu wa Idara ya manunuzi pamoja na Idara ya TEHAMA ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa TV 15 pamoja na kompyuta tatu katika Hospitali hiyo.
wa wamekuwa wakishirikiana katika shughuli mbalimbali ambapo mpaka sasa fedha hiyo pia bado haijalipwa kwa mwenye duka.
Kazi rahisi tuu,wapenzi siku hao staff wa Hospital kama hawajamtaja mwizi Kata salary zao tuu kufidia.

Hii iende Hadi kwenye wizi wa dawa.
 
"Waliweza kupewa bila maandishi yoyote kwa kuwa wamekuwa wakishirikiana katika shughuli mbalimbali....." Ofisi ya serikali hakuna maandishi?

Huu ndio wizi. Huyu na Dangote wa Arusha aliyeuawa wametofautiana tu kiasi elimu na ofisi. Stupid in Mama's voice.
Nchi imejaa majangili tupu, 15 TV zinaibwaje?
 
Sanaa zinaendelea kama kawaida kwenye kichaka cha wapigaji...🤣
Huyu baba ebu atulie, mwishowe atatenguliwa na asipangiwe tena kituo cha kazi...😂
Hii nchi wanasiasa wana nguvu kuliko watendaji....teh🤗
Mkuu hii ni sanaa kama ulivyosema. Tena ni sanaa ya uonevu. Huko juu wanapiga mabilioni ije kuwa hivyo vi-TV? Hawa watu wanadhani wana hati miliki ya kuiba wenyewe na ngazi za chini hawaruhusiwi kuiba?
 
Back
Top Bottom