TV 15 zaibwa hospitalini Njombe. Mkuu wa mkoa azunguka mitaani kuzisaka

Hapo utakuta asilimia kubwa ya hao watumishi waliokubali kukatwa mshahara ili kufidia hawahusiki na wizi bali ni uonevu tu.
 
Si ajabu tukio la ukwapuaji huo halina RB
 
Hii ni Hatari sana
 
Inasikitisha sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Ukaguzi huu wakifanya kila idara ya serikali na halmashauri watakuta wizi Kama huu wa vifaa.laptops,tv,nk
 
Mkanganyiko mkubwa hapo.

Kwa nini wakubaliane kununua zingine?
 
Tatizo wizi
Kila mahali ni wizi mpaka wanaona cctv ni mfichua maovu kwa hiyo hata wakiziweka ( ambapo nina uhakika hakuna) wataziiba pia au kuzivunja aidha kupoteza ushahidi au hawataki kuumbuka

Nchi imejaa wizi hata unaemlisha anakuibia
Hakuna sehemu hakuna wizi hapa kwenye hii nchi. HAKUNA.

Nchi hii ina watu wa hovyo kupindukia.
 
U
Unaibiwa na kuuZIwa
 
Kuna vitu vinachekesha 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…