joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Bado bro ipo kwenye majaribio.....TVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.
Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
kuwa na pesa ni kitu kingine na kuwa na watu wenye uwezo ni kitu kingine....pesa si kila kituNajiuliza swali moja tu clouds pesa hawana au vp tv kuwa na graphics mbaya vile
Majjizo ana miaka mitatu ila balaa lake kila mtu anakaa
Wabongo bwana tv iko kwenye majaribio.kumbuka bado ipo kwenye majaribio bado hawajaanza kurusha vipindi
Tatizo kubwa la tv stations za tz ni contents, kwa hiyo binafsi nitasubiri nione vipindi vyao na contents zake, unahitajika ubunifu! La sivyo wawe wanapiga mziki tu, kwa station yao kiwa clear nawapa heko.Claouds wanapotea sokoni soon! TV E wapo hot sana
Acha wivu wa kikeee mtoa mada hajazungumzia vipindi mapovu yanakutoka tuu Tv haina hata mwezi wala haijaanza kurusha vipindi unaanza kuleta wivu wako wa kike Hata Radio mlisema hivyo iko wapi sasa ndio Radio no 1 Dar so na Tv kaa mkao wa kula na ujue ndio Tv pekee ya Tz iko Afrika nzima na uchanga wake futa povuuu sasa jifunze kukubali cha mwenzioTVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.
Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
Wapo star times, Azam na DstvKwanza hawapo kwa startimes ya dish.. Mikoani hatuwapati.
Uliwa kuona wapi test signal inavipindi?Yaani wanaboa hawana kipindi chochote cha kuelimisha zaidi music.
Wapo star times, Azam na Dstv
Mkuu na sheria ndivyo ilivyo wabongo tunachuki sanahata kipindi wanaanza clouds walianza na miziki 24.....hii ni lazima.
TV E mmiliki wake ni nani vileKwa wiki sasa nimekuwa nikiitazama hii Tv stesheni ya TV E.Kiukweli niseme nawapa sifa zifutazo:-
1. Logo yao ni nzuri sana na waliodesign hii logo nawapa credit za kutosha.Ukiangalia logo ya Clouds fm haina mvuto na hata waliodesign hawakuwatendea haki clouds.
2. Graphics zo ni nzuri sana hata muonekano wake ikiwemo mpangilio wa rangi ni mzuri sana, kwa hili nawapongeza sana na nahisi wana timu ya watu makini sana.Clouds graphics zao ni mbovu sana na hata mpangilio wa rangi ni mbovu pia sijawahi kupenda muonekano wa Clouds
Mwisho niseme CLOUDS TV mjipange sana kwasababu soon mtakwenda kupoteza watazamaji kutokana na mpangili mbovu wa vipindi vyenu,muonekano mbaya wa Tv.TV E nawapa pongezi kwa mwanzo huu mzuri na nawatakia muendelezo mzuri ili mtoe changamoto kwa EATV kwani Clouds TV si mshindani kabisa.
Ulosema yote ni sahihi hasa logo wametishaKwa wiki sasa nimekuwa nikiitazama hii Tv stesheni ya TV E.Kiukweli niseme nawapa sifa zifutazo:-