TV4Sale Tv flat screen LG inch 50 used inauzwa

abaa4all

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
313
Reaction score
291
Habari wadau,

Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu.

Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam.
 
Wadau bei ni nzuri tu msiogope
 
Kila kitu kipo vzur kma unaitk ni PM tu na wa picha pia ukiniPM ntkutumia picha by whats up
 
Habari wadau,

Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu.

Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam.[/QUOTweka picha hapa tuone kama inahali nzuri tuone!
 
Habari wadau,

Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu.

Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam.

Huo utapeli wako peleka huko facebook au whatsapp,humu JF wenzako wanafanya biashara waziwazi!weka picha,weka bei,ndio tukufate huko PM unapopataka otherwise utasubiri sana.
 
Habari wadau,

Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu.

Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam.
Weka wazi tapeli nini?tulishatapeliwa sana na watu kama nyinyi!?
 
Unakimbilia pm ndio unaona njia rahisi kutapeli sio?
 
picha pleaseee or else kama wataka pm.... anza mwenyewe kuingia pm ya kila mwanajf umtumie picha asee!!!!!! yaani beshara yako mwenyewe halafu siye tuhangaike ku pm ?!
tasavali weka bei, picha kisha ndo tukijiridhisha tuna pm πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„beshara matangazo
 
Habari wadau,

Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu.

Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam.
Flat screen ndio plasma au LCD au LED au LED smart n.k?
 
Kama ni yako na unaiuza, ya nini uhitaji PM? Weka kila kitu wazi mkuu.
 
Wakuu mashine ipo katika hali nzur na nauza kwa sababu ya shida zangu tu lakini mimi mwenyewe naikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…