Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Ata kama umeipiga kwa wahindi..weka picha usiogope
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aina ya hyo tv na bei?Habari wadau,
Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu.
Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam.
Aiseee kumbe? Mavurunza ni wapi hukoDa wadau nimemcheck PM akanipeleka kuiona ni kweli 50" ila anauza Milioni mbili na Nusu ni Plasma kioo kina mikwaluzo nilienda kuona kwake jana mavulunza.
Ni maeneo ya kimara bonyokwa.Aiseee kumbe? Mavurunza ni wapi huko