TV4Sale Tv flat screen LG inch 50 used inauzwa

TV4Sale Tv flat screen LG inch 50 used inauzwa

picha pleaseee or else kama wataka pm.... anza mwenyewe kuingia pm ya kila mwanajf umtumie picha asee!!!!!! yaani beshara yako mwenyewe halafu siye tuhangaike ku pm ?!
tasavali weka bei, picha kisha ndo tukijiridhisha tuna pm 🙄🙄🙄🙄🙄beshara matangazo
Mkuu wewe sio gabachori kweli ?!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sio magumash mkuu its serious mm nipo very open but with restriction ww kma upo serious ni Pm tu

JF huwa hakuna restrictions hasa katika biashara na kama uko serious!!! Hivi utapokea pm 50 uanze kujibu zote
 
JF huwa hakuna restrictions hasa katika biashara na kama uko serious!!! Hivi utapokea pm 50 uanze kujibu zote
Mkuu nipo serious na nipo tayr kupokea Pm hata mia ili mrad tu niiuze coz nina shisa na hela this time
 
Wakuu bado sijapata response watu wananiPm but wanaishia kati am not in kagumash field am serious bussines maker
 
Bei milioni tatu na laki tano.
Picha zinakuja soon.
 
weka namba yako ya simu mtu atakayehitaji kufanya biashara na wewe atakupigia.AIDHA nashauri uweke picha ya hiyo biashara sio kila kitu ni pm tu
 
Mkuu Abaa4all inaonekana huna shida ya kuuza hiyo item yako.Basi nipm mimi unitumie namba yako ili unitumie picha yake kwenye whats'up.Ukitoa na offa yako na pia kama hiyo lg ni smart au kawaida.led,lcd na nk
 
Ngoja nkuPM
 
Da wadau nimemcheck PM akanipeleka kuiona ni kweli 50" ila anauza Milioni mbili na Nusu ni Plasma kioo kina mikwaluzo nilienda kuona kwake jana mavulunza.
 
Back
Top Bottom