Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,125 Reaction score 7,373 Feb 28, 2016 #41 Ata kama umeipiga kwa wahindi..weka picha usiogope
Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,475 Reaction score 1,860 Feb 28, 2016 #42 abaa4all said: Habari wadau, Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu. Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam. Click to expand... Aina ya hyo tv na bei?
abaa4all said: Habari wadau, Nauza flat screen LG inch 50 ipo katik hali nzuri maana sijaitumia muda mrefu. Anayeihitaji na kujua bei ani PM ipo Kinondoni Dar es salaam. Click to expand... Aina ya hyo tv na bei?
abaa4all JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 313 Reaction score 291 Feb 28, 2016 Thread starter #43 Leonard Robert said: Ata kama umeipiga kwa wahindi..weka picha usiogope Click to expand... Hahaha mkuu hapana huwa sina tabia za kupiga infact kwamba sijwh kuajiriwa na muhind katika maisha yangu
Leonard Robert said: Ata kama umeipiga kwa wahindi..weka picha usiogope Click to expand... Hahaha mkuu hapana huwa sina tabia za kupiga infact kwamba sijwh kuajiriwa na muhind katika maisha yangu
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,384 Feb 28, 2016 #44 Savimbi Jr said: Da wadau nimemcheck PM akanipeleka kuiona ni kweli 50" ila anauza Milioni mbili na Nusu ni Plasma kioo kina mikwaluzo nilienda kuona kwake jana mavulunza. Click to expand... Aiseee kumbe? Mavurunza ni wapi huko
Savimbi Jr said: Da wadau nimemcheck PM akanipeleka kuiona ni kweli 50" ila anauza Milioni mbili na Nusu ni Plasma kioo kina mikwaluzo nilienda kuona kwake jana mavulunza. Click to expand... Aiseee kumbe? Mavurunza ni wapi huko
barwani JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 238 Reaction score 160 Feb 28, 2016 #45 Imeshahudhuria kwa fundi mara ngapi??
Savimbi Jr JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 6,818 Reaction score 9,183 Feb 28, 2016 #46 Jerrymsigwa said: Aiseee kumbe? Mavurunza ni wapi huko Click to expand... Ni maeneo ya kimara bonyokwa.
Jerrymsigwa said: Aiseee kumbe? Mavurunza ni wapi huko Click to expand... Ni maeneo ya kimara bonyokwa.