fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 13,008
- 24,820
Sundar hapana mkuu 😄😄 unfortunately sijawahi experience nao kwenye vifaa vya electronics, sindo ndugu yake wa kambo aborder
Mkuu kwenye Electronics mimi ni Sony ila kutokana na kuwa bei juu sana hata huku nje nimeamua kujibanza na bidhaa za LG au Samsung..
Ndio hao hao mkuu😂Sundar hapana mkuu 😄😄 unfortunately sijawahi experience nao kwenye vifaa vya electronics, sindo ndugu yake wa kambo aborder
Hisense dah hawana hamu wanaleta makanyaboya wabongo hawayaelewi kabisa mbongo anataka durability jamaa wanawatengenezea vitu vya kichina unatumia leo kesho unaenda kununua tenaHisense wana VIDAA OS ya kisengë sana labda kama utanunua na Android Box sawa... Tafuta TCL (Android & Google TV), Evvoli au Skyworth ziwe Android TV... Kama umekosa kabisa go for hiyo SolarMax tu achana na Hisense..
Hao kwenye battery za Solar huko ndio wapo vizuri na tuvifaa twa solar za majumbaniNdio hao hao mkuu😂
Shukrani mkuu nilichukua skyworth google tv 43 inch nikabakiwa na chenji nyingi tu maana waliniuzia kwa 430kHisense wana VIDAA OS ya kisengë sana labda kama utanunua na Android Box sawa... Tafuta TCL (Android & Google TV), Evvoli au Skyworth ziwe Android TV... Kama umekosa kabisa go for hiyo SolarMax tu achana na Hisense..
At least hapo uta enjoy...Shukrani mkuu nilichukua skyworth google tv 43 inch nikabakiwa na chenji nyingi tu maana waliniuzia kwa 430k
Wabongo wengi hawaangalii quality, wao wanaangalia bei rahisi. Kuna TV yangu Samsung UHD 4K, 49” naisukuma, wiki ya 2 hii wanaulizia bei tu na kukimbia.Hizi TV huko wanauza bei kubwa nini wazee View attachment 3555013mbona hamzitaji kabisa Samsung 50" 4K smart hapo zipo duka la used anauza bei za kawaida tu Durban sema mpaka ifike Tunduma kazi ipo.
Ina maana LG haipo kwenye list yako?Achana nazo zote chukua Mewe. Usishtuke kisa jina baya, kwa sasa ndio TV ya low end yenye ubora. Hata hivyo low ends nyingi kina Solarmax, Alitop na wenzake huwa ni yale yale kwenye quality. Tofauti inakuja kwenye durability, ipi inachoma kadi mapema, ipi inahimili kudondoshwa au kutikiswa.
Hisense za siku hizi nyingi ni utapeli (sijawahi prove kama zipo fake au ni quality yao ndio mbovu) na hata hivyo ingekuwa ni genuine siikubali VIDAA kabisa.
Kwa soko la bongo ukishindwa Sony na Samsung inafuata TCL kisha ndio inakuja Haier na Hisense zinapambana hizi kila moja na mapungufu yake.
Wao kitu cha bei ndogo hata kama anatumia yeye mwenyewe ubora sio kipaumbele..Wabongo wengi hawaangalii quality, wao wanaangalia bei rahisi. Kuna TV yangu Samsung UHD 4K, 49” naisukuma, wiki ya 2 hii wanaulizia bei tu na kukimbia.
Upo sahihi mkuu.Wao kitu cha bei ndogo hata kama anatumia yeye mwenyewe ubora sio kipaumbele..
"Kwa soko la bongo" LG models nyingi hazipatikani sana maduka mengi. Pia zipo TV nzuri za mid range sikuzitaja sababu soko la bongo ngumu kuzipata.Ina maana LG haipo kwenye list yako?
Mbona zipo nyingi sana kwa LG dealers..."Kwa soko la bongo" LG models nyingi hazipatikani sana maduka mengi. Pia zipo TV nzuri za mid range sikuzitaja sababu soko la bongo ngumu kuzipata.
Unatazama tv masaa 12 kila siku,una moyoDurability imeshuka na kuzingua display bila sababu ya kueleweka kwa kesi nyingi wanavyo report watu.. japokua mi natumia mwaka wa 3 huu na iko ON kila siki zaidi ya masaa 12... Nafikiri matoleo ya sasa ni kimeo kama kweli zinawafia wadau..
Kuna kazi huwa nafanya so TV inatumika as second display, haimaanishi mi ndo nakaa hapo masaa yote 12 naangalia kwa kioo duh hapana.. Ila inakaa ON sana masaa 12+Unatazama tv masaa 12 kila siku,una moyo