TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

Smart ya nn
boss,mwenyewe zamani nilikuwa na mawazo kama yako..ila toka niimgie uwanja wa smart tena android nimesahau kitu kinachoitwa kisambuzi ni mimi na bundle langu tu
 
Attachments

  • IMG_20230507_221343.jpg
    IMG_20230507_221343.jpg
    428.7 KB · Views: 20
  • IMG_20230507_221619.jpg
    IMG_20230507_221619.jpg
    389.3 KB · Views: 22
Hisence imeshikilia soko sana ila binafsi naona kama haina tofauti yoyote na star x maana hata bei zinaendana. Vioo vyao ni low quality watu wengi wanalalamika vinapasuka kwa urahisi.hazivumilii mikiki kama brand kubwa akina LG,Samsung, na sony
 
Bora kununua second hand brand kubwa ila hizi za kichina basi tu.
 
Hata Samsung sio 500k inch 32 mbili ww utakua mshamba wa TV au unatoka kijijn au umetoka kijijn umevamia mji au ulipgwa kariakoo ndo unazan ndo bei yake
Hahaha nadhani wew ndio idiot mkubwa maana umekariri kariakoo tu ...ondoa tongotongo kwanza ndo unijibu sio unaropoka tu mkuu
 
Hisense 43" zinaanzia sh 850,000 kwenda juu,kwa bei ya 500k nielekeze duka nika purchase.
Kuna duka lipo Posta mitaa ya Central Police linaitwa PS ELETRONICS, Instagram id yao ni @ps.electronics nilipita na kuona wana Tv zinaitwa ELECTROPLUS zenyewe ni FHD na ni Android 11. Bei yao ni Tshs. 900,000/= inchi 55 na Tshs. 500,000/= inchi 43.

Hizo TV nimetafuta taarifa zake mitandaoni, naona hazina shida ni nzuri.

Namba yao ya simu ni 0754023316
 
Kwa Android tv, ila Hisense, Samsung, LG na brand nyingi ili uone iptv ni mpaka ulipie.
Halafu kwenye TCL tulifanikiwa kuinstall yaccine tv apk ila YTV player (inapatikana play store) ikagoma na kusema haisapoti. Mpaka leo hakuna enjoyment
 
Huwa kuna apk za Android tv na za simu, si app zote za simu zinakubali kwenye tv, nimewahi kuiona Yaccine kwenye Mi box s hivyo app ya tv ipo. Unaweza pia kujaribu hii version

Pia app nyengine za Android hazipo optimized kutumia up, down, left na right kama remote nyingi za smart zilivyo, utahitaji mouse ya nje ama Ku convert remote yako kuwa mouse nafkiri setting ipo kwenye developer settings.
 
Mkuu hi
Halafu kwenye TCL tulifanikiwa kuinstall yaccine tv apk ila YTV player (inapatikana play store) ikagoma na kusema haisapoti. Mpaka leo hakuna enjoym

Halafu kwenye TCL tulifanikiwa kuinstall yaccine tv apk ila YTV player (inapatikana play store) ikagoma na kusema haisapoti. Mpaka leo hakuna enjoyment
kaka hiyo ytv player download google ile apk yake then iweke kwenye flash kainstall kwa tv.mimi nimefanikiwa naangalia hapa fresh tu
 
Attachments

  • 16838103766795717001410929998929.jpg
    16838103766795717001410929998929.jpg
    424 KB · Views: 18
  • 16838104290423326490804003333129.jpg
    16838104290423326490804003333129.jpg
    420.1 KB · Views: 19
  • 1683810491082124230949454847838.jpg
    1683810491082124230949454847838.jpg
    401.8 KB · Views: 20
Huwa kuna apk za Android tv na za simu, si app zote za simu zinakubali kwenye tv, nimewahi kuiona Yaccine kwenye Mi box s hivyo app ya tv ipo. Unaweza pia kujaribu hii version

Pia app nyengine za Android hazipo optimized kutumia up, down, left na right kama remote nyingi za smart zilivyo, utahitaji mouse ya nje ama Ku convert remote yako kuwa mouse nafkiri setting ipo kwenye developer settings.
ni kweli mkuu,mimi nilijaribu kuchomeka mouse ya pc ili support nilitumia kama week hivi ikapotea sijui nilichezea wapi.
 
Halafu kwenye TCL tulifanikiwa kuinstall yaccine tv apk ila YTV player (inapatikana play store) ikagoma na kusema haisapoti. Mpaka leo hakuna enjoyment
mkuu kabla ya kuweka hizo apk utazodownload make sure umeruhusu tv yako ikubali kuingiza unknown resoures, kule kwenye setting ya tv yako.hizi android tv pia zina mtindo wa kumeza apk ambayo haipo playstore...unakuta umeinstall vzr tu apks zako baada ya mda huzioni.ili kusolve hilo nenda setting za playstore kazime ile playstore protection...ila kimbuka tv yako itakuwa hatiani na malware mbalimbali.take a risk .....
 
Huwa kuna apk za Android tv na za simu, si app zote za simu zinakubali kwenye tv, nimewahi kuiona Yaccine kwenye Mi box s hivyo app ya tv ipo. Unaweza pia kujaribu hii version

Pia app nyengine za Android hazipo optimized kutumia up, down, left na right kama remote nyingi za smart zilivyo, utahitaji mouse ya nje ama Ku convert remote yako kuwa mouse nafkiri setting ipo kwenye developer settings.
VIDAA ya HISENSE inaingiliana na android
 
Back
Top Bottom