TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

TV gani itanifaa kwa bajeti ya 500k

Haiiingiliani mkuu sema tu zipo Hisense za Android tv. Vidaa ni proprietary Os na apps zake unazihesabu hata kwa Vidole.
Kuna huyu anataka kuniuzia hii Samsung nipe ushauri 55" kwa 1M nahisi kama nataka kupigwa
 
Attachments

  • IMG-20230509-WA0026.jpg
    IMG-20230509-WA0026.jpg
    32.5 KB · Views: 9
  • IMG-20230509-WA0027.jpg
    IMG-20230509-WA0027.jpg
    45.4 KB · Views: 11
Samsung pia sio Android tv mkuu, kama unauza upgrade kwa mambo mengine ila software bado itakua issue. Sema angalau kidogo Software ya Samsung ni nyepesi.
Nishauri ipi itanifaa ila mi sio.mtu wa kutumia bando kwa ajili ya TV😎
 
Haiiingiliani mkuu sema tu zipo Hisense za Amdroid tv. Vidaa ni proprietary Os na apps zake unazihesabu hata kwa Vidole.
Ahsante mkuu. Na nimeona kuna TCL za Google Tv na za android tv. Sasa hizo ina maana zitakuwa na tofauti kwenye upatikanaji wa Apps? Na ipi ni OS nzuri zaidi (recommended), kwa maana ya ukikuta TV zenye sifa sawa na brand ni moja tofauti tu ni OS hizo, uchukue ipi?
 
Google ni OS?
Nachofahamu Android ndio OS na aliyeiunda ni huyo Google
 
Kuna duka lipo Posta mitaa ya Central Police linaitwa PS ELETRONICS, Instagram id yao ni @ps.electronics nilipita na kuona wana Tv zinaitwa ELECTROPLUS zenyewe ni FHD na ni Android 11. Bei yao ni Tshs. 900,000/= inchi 55 na Tshs. 500,000/= inchi 43.

Hizo TV nimetafuta taarifa zake mitandaoni, naona hazina shida ni nzuri.

Namba yao ya simu ni 0754023316
Mmh hii si namba yako mkuu !!!
 
Ahsante mkuu. Na nimeona kuna TCL za Google Tv na za android tv. Sasa hizo ina maana zitakuwa na tofauti kwenye upatikanaji wa Apps? Na ipi ni OS nzuri zaidi (recommended), kwa maana ya ukikuta TV zenye sifa sawa na brand ni moja tofauti tu ni OS hizo, uchukue ipi?
Android tv na Google tv ni kitu hicho hicho ni Android utofauti ni Muonekano, Google tv ni Launcher yenye muonekano Tofauti. Google tv ni mpya maybe inaweza kuashiria hio TV ni model ya karibuni.
 
Kuna duka lipo Posta mitaa ya Central Police linaitwa PS ELETRONICS, Instagram id yao ni @ps.electronics nilipita na kuona wana Tv zinaitwa ELECTROPLUS zenyewe ni FHD na ni Android 11. Bei yao ni Tshs. 900,000/= inchi 55 na Tshs. 500,000/= inchi 43.

Hizo TV nimetafuta taarifa zake mitandaoni, naona hazina shida ni nzuri.

Namba yao ya simu ni 0754023316
Asante pamoja sana mkuu.
 
Back
Top Bottom