TV inaonesha battery charge 100%

TV inaonesha battery charge 100%

😀😀😀daah labda inatunza chaji hata umeme ukikatika
 
Nadhani solar wanamaanisha inaweza kutumia umeme wa DC/battery moja kwa moja, nadhani hiyo ni setting tafuta utakuwa umewasha kitu kama Enegry Saver hii inaelekea ni "brand" ya TZ wanapachika jina OEM huko China.
 
Zenye majina makubwa zinatumia Android tv ama Google tv yenyewe kabisa ambayo ipo optimized kwa ajili ya tv.

Mchina choka mbaya huwa anatumia android ya simu kisha anaweka launcher.
Mchina noma kaka. Anapiga sana USA kwenye Licencing ya Products zao😂Kabla ya TCRA kuwabana kwenye Simu jamaa walikuwa wana zaidi ya Simu aina Elfu moja zote Imei no ni moja😂
 
Back
Top Bottom