TV4Sale Tv mpya 43 inchi

TV4Sale Tv mpya 43 inchi

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,565
Reaction score
1,918
Digital tv aina ya mobisol ipo sokoni imetumika mwezi mmoja tu

Sababu ya kuuza: nipate mtaji wa kuongeza kwenye biashara zangu

Nilinunua au ni ya wizi: jibu ni hapana kuna ndugu yangu aliniletea anafanya kazi kampuni hiyo

Napatikana wapi: kibaha

Sifa za tv: ina king'amuzi cha ndani yaani huitaji kuwa na king'amuzi kuona local channel na zinginezo nyiiingi kama bbc, dw, citizen, ktn nk. Ni wewe na antena yako tu

- Ina usb port 2, hdmi port 2, audio output

- Inatumia umeme wa dc 12-19 volt hata ukiwa na betry ya gari inawaka na hainyonyi sana betry, pia umeme wa ac kwa kutumia pc adptor

- Inafaa kutumika wapi: nyumbani, ukumbini nk.

- Mawasiliano: 0787 429 104 tuma sms nitajibu zote serious buyer tafadhari usinipigie simu
 

Attachments

  • tv.jpg
    tv.jpg
    6.5 KB · Views: 45
  • tv 2.jpg
    tv 2.jpg
    7 KB · Views: 28
  • tv 3.jpg
    tv 3.jpg
    7.2 KB · Views: 30
  • tv 4.jpg
    tv 4.jpg
    8.4 KB · Views: 24
  • tv 5.jpg
    tv 5.jpg
    3.9 KB · Views: 23
  • tv 6.jpg
    tv 6.jpg
    5.2 KB · Views: 23
  • tv 7.jpg
    tv 7.jpg
    6.7 KB · Views: 22
  • tv 8.jpg
    tv 8.jpg
    6.9 KB · Views: 26
  • tv.jpg
    tv.jpg
    6.5 KB · Views: 25
Back
Top Bottom