Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wajeWataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora.
Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia:
Zote zinauzwa kwa milioni 1.5, na zinakuja na zawadi za HDMI cable, Wall bracket, na delivery ya bure. Pia, zinakuwa na warranty ya mwaka mmoja.
- Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K
- TCL UHD Smart 4K
Baada ya hapo, niliamua kutembelea maduka ya bidhaa za mtumba. Huko, nilipata chaguo mbili za kuvutia zaidi:
TV hizi za mtumba zinauzwa kwa milioni 1.4, lakini hazina miguu (stand), remote, wall bracket, HDMI cable, wala delivery ya bure. Pia, warranty inayotolewa ni ya miezi 6 pekee.
- Sony Bravia 65XE7002 – UHD Smart 4K, Made in Japan (2017)
- AVA FFalcon 65UF1 – UHD Smart 4K, Made in Australia
Sasa, nimebaki nikitafakari kama nichukue TV mpya za Kichina (Hisense ama TCL) ambazo zinakuja na warrant ndefu na vifaa vya ziada, au nichukue Sony ya mtumba, ambayo ni brand kubwa na inajulikana kwa kudumu muda mrefu, licha ya kuwa na warranty fupi.
Kwa kuzingatia ubora wa picha, uimara wa TV, na faida za kila chaguo, je, wadau mnanishauri nichague ipi? Nipo tayari kupokea ushauri kutoka kwa wenye uzoefu wa vifaa hivi.
Asanteni sana!
Na mimi nawasubiri mpenziNgoja waje
Cc : Tumbili wa mjini
I love you babeNa mimi nawasubiri mpenzi
Achana na Tumbili mrembo au kwa kuwa anajiita yeye ni wa mjini. Njoo huku ukule maisha😎🤓I love you babe
Haiombwi hivyo 🤭🤭Achana na Tumbili mrembo au kwa kuwa anajiita yeye ni wa mjini. Njoo huku ukule maisha😎🤓
🤣🤣🤣. Ngoja nikajipange upya.Haiombwi hivyo 🤭🤭
Watoto wa alfu2 tunahitaji matunzo🤣🤣🤣. Ngoja nikajipange upya.
Zote ni bora. Je vipi wewe na kichanga nani mbora?Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora.
Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia:
Zote zinauzwa kwa milioni 1.5, na zinakuja na zawadi za HDMI cable, Wall bracket, na delivery ya bure. Pia, zinakuwa na warranty ya mwaka mmoja.
- Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K
- TCL UHD Smart 4K
Baada ya hapo, niliamua kutembelea maduka ya bidhaa za mtumba. Huko, nilipata chaguo mbili za kuvutia zaidi:
TV hizi za mtumba zinauzwa kwa milioni 1.4, lakini hazina miguu (stand), remote, wall bracket, HDMI cable, wala delivery ya bure. Pia, warranty inayotolewa ni ya miezi 6 pekee.
- Sony Bravia 65XE7002 – UHD Smart 4K, Made in Japan (2017)
- AVA FFalcon 65UF1 – UHD Smart 4K, Made in Australia
Sasa, nimebaki nikitafakari kama nichukue TV mpya za Kichina (Hisense ama TCL) ambazo zinakuja na warrant ndefu na vifaa vya ziada, au nichukue Sony ya mtumba, ambayo ni brand kubwa na inajulikana kwa kudumu muda mrefu, licha ya kuwa na warranty fupi.
Kwa kuzingatia ubora wa picha, uimara wa TV, na faida za kila chaguo, je, wadau mnanishauri nichague ipi? Nipo tayari kupokea ushauri kutoka kwa wenye uzoefu wa vifaa hivi.
Asanteni sana!
Samsung ugonjwa wa vioo kuweka mistari kati na hatimaye kioo kizima kuwa giza hijawahi pata tiba.Mbona hujaweka kubwa lao Samsung? Mimi Tv kama sio Samsung basi Sony, nikikosa kabisa nitachukua LG kishingo upande.
Kwa hii case yako hapa ningechukia Sony, ila chukua sehemu ya kuaminika maana used kama imeshapigwa vyuma ni pasua kichwa.
Kwa 1.5M kama unanunua TV mtumba angalau iwe Oled, kutumia 1.5M kununua LED wakati at same price unapata LED mpya si wazo zuri.Wataalamu wa mambo naomba msaada wenu katika uamuzi huu. Nina bajeti ya milioni 1.5 kwa ajili ya kununua TV, na leo nimezunguka madukani kutafuta chaguo bora.
Katika maduka ya bidhaa mpya, nimepata TV mbili zinazovutia:
Zote zinauzwa kwa milioni 1.5, na zinakuja na zawadi za HDMI cable, Wall bracket, na delivery ya bure. Pia, zinakuwa na warranty ya mwaka mmoja.
- Hisense 65A6K/N – UHD Smart 4K
- TCL UHD Smart 4K
Baada ya hapo, niliamua kutembelea maduka ya bidhaa za mtumba. Huko, nilipata chaguo mbili za kuvutia zaidi:
TV hizi za mtumba zinauzwa kwa milioni 1.4, lakini hazina miguu (stand), remote, wall bracket, HDMI cable, wala delivery ya bure. Pia, warranty inayotolewa ni ya miezi 6 pekee.
- Sony Bravia 65XE7002 – UHD Smart 4K, Made in Japan (2017)
- AVA FFalcon 65UF1 – UHD Smart 4K, Made in Australia
Sasa, nimebaki nikitafakari kama nichukue TV mpya za Kichina (Hisense ama TCL) ambazo zinakuja na warrant ndefu na vifaa vya ziada, au nichukue Sony ya mtumba, ambayo ni brand kubwa na inajulikana kwa kudumu muda mrefu, licha ya kuwa na warranty fupi.
Kwa kuzingatia ubora wa picha, uimara wa TV, na faida za kila chaguo, je, wadau mnanishauri nichague ipi? Nipo tayari kupokea ushauri kutoka kwa wenye uzoefu wa vifaa hivi.
Asanteni sana!
TCL 65Q651 sio itakua zaidi ya 1.5M, maana naona model nyingi za kawaida ndo wanauza bei hio???Kwa 1.5M kama unanunua TV mtumba angalau iwe Oled, kutumia 1.5M kununua LED wakati at same price unapata LED mpya si wazo zuri.
Hisense U6/U6N series inakuwa considered kama best budget TV Kwa hio price point,
TCL Q651 series nazo nzuri kama mtu WA kucheza games.
Namtafuta naomba unipe msaadaKununua vifaa vya elektroniki vya mtumba ni risk. Wachache huwa wanafanikiwa kununua na visiwaletee songombingo za Kaboka Mchizi.
Ushauri kwa aliyeanzisha thread ni bora ununue TV mpya.
NB: Kwa ushauri wa kitaalamu uliokwenda shule wasiliana na mjukuu wa Mkwawa ndugu, Chief-Mkwawa
Hivi mkuu wewe ukiambiwa uchague kati ya hisence na TCL zote zikiwa sawa Kwa kila kitu in terms of features na specifications.Kwa 1.5M kama unanunua TV mtumba angalau iwe Oled, kutumia 1.5M kununua LED wakati at same price unapata LED mpya si wazo zuri.