Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.
Video nilizoanza nazo:
1. Jinsi ya kufunga tai (How to tie a tie)
2. Jinsi ya kukunja nguo (How to fold clothes)
3. Jinsi ya kupiga danadana (how to juggle a ball )
Watoto wanaenda ofisini au shuleni ?hivi kuna ofs wanavaaga tai.....!
ukona ofsn kwako unavaa tai, jua kunatatizo mahala!
TRA na tai ni kama pie27hivi kuna ofs wanavaaga tai.....!
ukona ofsn kwako unavaa tai, jua kunatatizo mahala!
labda hajawahi kwenda hata tra kwavile hana biasharaTRA na tai ni kama pie27
Wanavaa shuleni mkuu.hivi kuna ofs wanavaaga tai.....!
ukona ofsn kwako unavaa tai, jua kunatatizo mahala!
Bado sijaelewa hapo rudia tena Tom & Jerry wanafundisha nini? Wanafanya mtoto anacheka au Ile milio wanayosema ni Dawa ya ubongo?labda hujanielewa vizuri, nilichomaanisha ni kwamba video nazoweka zinaeleweka kirahisi kama wanavyoangalia tom and jerry, walimu wanaelekeza kwa vitendo zaidi sio maneno
Hata Tom and Jerry inafundisha pia.Jinsi ya kupiga Guitar
Jinsi ya kupiga Kinanda
Jinsi ya kupiga Violin
Jinsi ya kupiga Drums
Jinsi ya kuchezea Keyboard
Jinsi ya kumix Muziki
Mimi bimkubwa (Mama Mzazi) alikua ananiwekea Basketball 🏀 tupu games za Basketball akienda Safari akirudi analeta video za Basketball ilinifanya nipende sana basketball kipindi nipo mdogo nguo zangu nyingi ni za Basketball, bimkubwa alikua anapenda sana nije kua mchezo basketball mmoja mkubwa sana duniani Ila ndio hivyo tena
Sasa wewe unamwekea mwanao tom&Jerry unataka mwanao aje kua nani tom au Jerry?
Baby shark!!!!!Baby Shark, doo-doo, doo-doo, doo-doo
Kufundisha nini Mimi sijaona labda Charlie ChaplinHata Tom and Jerry inafundisha pia.
Tom and jerry the movie.
You gotta be friends.
Hebu tuendelee na lengo la uzi naomba hio topic iishe, nime edit post ya mwanzo kuweka mambo direct.Bado sijaelewa hapo rudia tena Tom & Jerry wanafundisha nini? Wanafanya mtoto anacheka au Ile milio wanayosema ni Dawa ya ubongo?
Mtoto anaecheza games usifananishe na muangalia katuniukimuona mzembe jua anacheza games and not katuni.
Mtoto anaecheza games usifananishe na muangalia katuni
wakuu heshim na taadhima naombeni tuendelee kupeana idea za video nyingine za kuwawekea watoto nje ya katuni pamoja na hizo games.Unajua kwann watoto wanapenda katuni?,nj kitu kinachochangamsha mtu kuliko movie yyt ya kitoto it gives someone quick thinking,mtoto mpenda katuni hawezi kua jinga jinga,ukimuona mzembe jua anacheza games and not katuni.