Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,636
- 2,053
Habari wana jukwaa juzi nimenunua Tv aina ya Star X inch 50 smart Tv 4k UHD. Wakati nainunua hii Tv waliniwekea baadhi ya video kutoka Youtube na zikawa zinaonesha clear sana hadi nilipenda kwa kweli na jamaa alini setia pale resolution nadhani akaniwekea 1080i@50Hz...
Nilivyokuja nyumbani nikaifunga ile Tv then nikaiunganisha na king'amuzi cha Azam baadhi ya channel picha zake zikawa hazipo clear kama ilivyokuwa kule dukani, baadaye nikaja nikaiunganisha na Dstv pia nayo ikawa the same baadhi ya channel picha haipo clear, sasa lengo langu likawa labda nibadilishe kutoka 1080i@50Hz kwenda juu zaidi lakini sijuwi wanabadilishia wapi. Au Tv yangu haina tatizo sema baadhi ya channel ndizo ambazo hazipo HD? Nikiangalia video za Youtube zinaonesha vizuri hadi raha. Naombeni msaada kwa yeyote anayejuwa
CHIEF MKWAWA
extrovet