Tv Star X smart Tv inanitia ushamba naombeni msaada

Tv Star X smart Tv inanitia ushamba naombeni msaada

Hiki hapo kiongozi
Si decoder zote za Dstv ni HD, hata kama chanell ni HD kama decoder si Hd hutapata quality nzuri.

Unatumia decoder model gani?
20201207_010430.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilitegemea Dstv itakuwa iko vizuri lskini nayo baadhi ya channeli ndio ziko clear zaidi kuliko zingine
Ukitaka uone HD ya DSTV weka chanell namba 100 ile ya matangazo ya chanell zao...
 
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji16][emoji16][emoji16].
sijuagi wale wauza tv uwa wanatumia nini kwenye maduka yao.
Yaani tv zinaonesha clear kabisa.sasa nunua ukajionee
 
Waya sio ishu sana. Quality ni ile ile tu mie nimetumia RCA na HDMI kitu ni kile kile tu sema RCA huwa zinatenganisha picha na sauti tu while HDMI inabeba zote.
Najuaje kwamba huu waya ni HDMI au RCA?
sababu me waya wangu unasababisha tv inatoa muungurumo wa kukoroma hivi.
 
Najuaje kwamba huu waya ni HDMI au RCA?
sababu me waya wangu unasababisha tv inatoa muungurumo wa kukoroma hivi.
"RCA" ndio zile nywaya 3 ..Njano, Nyeupe na Nyekundu kiongozi ila HDMI ndo ule waya 1 unaofanana na chaja za smartfone.
 
Ebu weka mchanganuo wa gharama.
Kipi kinafanya Chanel kuwa HD iwe NI gharama?
Gharama kuanzia vipindi itabidi viwekwe kwenye mfumo wa HD then gharama ya kurusha matangazo inaongezeka mara 2 zaidi ya channel ya kawaida kwenda kwenye satellite kwa sababu inabidi warushe SD na HD kwa pamoja ili kukava wasio na Tv au visimbuzi vya HD mbele mbele huko watu wote Tukiwa na Tv za HD gharama zitapungua na channel zitaongezeka.
 
Back
Top Bottom