Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Eeh mkuu usiwaze...Uki input file lenye quality ya FULL HD utaona TV iko sawa kabisa.Nakushukuru sana kiongozi umeniondolea hofu maana nimetowa mapesa mengi halafu nikawa sielewi elewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh mkuu usiwaze...Uki input file lenye quality ya FULL HD utaona TV iko sawa kabisa.Nakushukuru sana kiongozi umeniondolea hofu maana nimetowa mapesa mengi halafu nikawa sielewi elewi
Mie binafsi napendaga ku stream sana ngoma youtube kuliko kuziangalia Direct kwenye king'amuzi. Hakikisha ume connect Home Theatre yako au Subs 😁😁😁 Enjoy!!!Utofauti nauona nikiingia youtube quality ni kubwa sana
Mie binafsi napendaga ku stream sana ngoma youtube kuliko kuziangalia Direct kwenye king'amuzi. Hakikisha ume connect Home Theatre yako au Subs [emoji16][emoji16][emoji16] Enjoy!!!
Acha kuangaika mkuu , endelea tu kutumia TV yako hakuna jipya utakalopataHabari wana jukwaa juzi nimenunua Tv aina ya Star X inch 50 smart Tv 4k UHD. Wakati nainunua hii Tv waliniwekea baadhi ya video kutoka Youtube na zikawa zinaonesha clear sana hadi nilipenda kwa kweli na jamaa alini setia pale resolution nadhani akaniwekea 1080i@50Hz... nilivyokuja nyumbani nikaifunga ile Tv then nikaiunganisha na king'amuzi cha Azam baadhi ya channel picha zake zikawa hazipo clear kama ilivyokuwa kule dukani,baadaye nikaja nikaiunganisha na Dstv pia nayo ikawa the same baadhi ya channel picha haipo clear,sasa lengo langu likawa labda nibadilishe kutoka 1080i@50Hz kwenda juu zaidi lakini sijuwi wanabadilishia wapi. Au Tv yangu haina tatizo sema baadhi ya channel ndizo ambazo hazipo HD? Nikiangalia video za Youtube zinaonesha vizuri hadi raha. Naombeni msaada kwa yeyote anayejuwa
CHIEF MKWAWA
extrovet
Hivi bongo youtube mnatumia internet za mtandao gani kuangalia youtube,maana natumia ya voda kifurushi cha gb 10 kwa wiki natumia siku 2 tu na hapo bila kutazama youtube!?Mkuu Youtube video zake ni nzuri sababu nyingi zina format ya FULL HD yani 1080p na nyingine ni Ultra High Definition ama 4K.
Haya maving'amuzi mengi yana Quality ya SD ama 480p ila channel za HD kama azam sports 1&2 ndio walau zina 720p.
Kimsingi usighafilike ni ving'amuzi ndio havina Quality mkuu. Kama mpenzi wa Quality basi tumia Youtube kuangalizia Content ili ufaidi vizuri TV yako.
Mi nawashangaa watu kama wewe mnaolalamika... Maybe sababu nilishaacha kuwa mjinga.Hivi bongo youtube mnatumia internet za mtandao gani kuangalia youtube,maana natumia ya voda kifurushi cha gb 10 kwa wiki natumia siku 2 tu na hapo bila kutazama youtube!?
Hio Pesa unayonunua 10GB tugawane mzee baba. Nikuunge kwenye mtandao wangu naotumia. Hutaamini.Hivi bongo youtube mnatumia internet za mtandao gani kuangalia youtube,maana natumia ya voda kifurushi cha gb 10 kwa wiki natumia siku 2 tu na hapo bila kutazama youtube!?
Itakuwa kifurushi kikubwa kile cha elfu 60+ nadhaniHivi Dstv ili niangalie nipate channel za mipura zore natakiwa nilipite kifurushi cha Tsh ngapi?
Mkuu unatumia mtandao ganiHio Pesa unayonunua 10GB tugawane mzee baba. Nikuunge kwenye mtandao wangu naotumia. Hutaamini.
Zantel for Lifestyle mzee...Siku nyingi nilishaachana na hao matapeli Voda na Tigo na mwenzao Halotel ambae karithi tabia za wizi.Mkuu unatumia mtandao gani
Mzee natumia Zantel sikuhizi as my main card. Huku ukiuziwa 1GB ni ya kikweli. Sio unauziwa data za kitapeli zile walizo tweak nazo. Unaona umepewa 1GB kumbe wamekupa 500MB kihalisia.Mtandao gani? Funguka tukuwezeshe
Acha uwongo mkuu...huwezi fananisha quality ya rca na hdmi hata siku moja...hdmi ni best zaidiWaya sio ishu sana. Quality ni ile ile tu mie nimetumia RCA na HDMI kitu ni kile kile tu sema RCA huwa zinatenganisha picha na sauti tu while HDMI inabeba zote.
Mie siwezi bishana kwa kitu ambacho nimekifanya practically. Amini unavyoamini ila signals za RCA na za HDMI hazina tofauti.Acha uwongo mkuu...huwezi fananisha quality ya rca na hdmi hata siku moja...hdmi ni best zaidi
Si decoder zote za Dstv ni HD, hata kama chanell ni HD kama decoder si Hd hutapata quality nzuri.Habari wana jukwaa juzi nimenunua Tv aina ya Star X inch 50 smart Tv 4k UHD. Wakati nainunua hii Tv waliniwekea baadhi ya video kutoka Youtube na zikawa zinaonesha clear sana hadi nilipenda kwa kweli na jamaa alini setia pale resolution nadhani akaniwekea 1080i@50Hz... nilivyokuja nyumbani nikaifunga ile Tv then nikaiunganisha na king'amuzi cha Azam baadhi ya channel picha zake zikawa hazipo clear kama ilivyokuwa kule dukani,baadaye nikaja nikaiunganisha na Dstv pia nayo ikawa the same baadhi ya channel picha haipo clear,sasa lengo langu likawa labda nibadilishe kutoka 1080i@50Hz kwenda juu zaidi lakini sijuwi wanabadilishia wapi. Au Tv yangu haina tatizo sema baadhi ya channel ndizo ambazo hazipo HD? Nikiangalia video za Youtube zinaonesha vizuri hadi raha. Naombeni msaada kwa yeyote anayejuwa
CHIEF MKWAWA
extrovet