Tv Star X smart Tv inanitia ushamba naombeni msaada

Thanke you broo
Mie binafsi napendaga ku stream sana ngoma youtube kuliko kuziangalia Direct kwenye king'amuzi. Hakikisha ume connect Home Theatre yako au Subs [emoji16][emoji16][emoji16] Enjoy!!!
 
Hivi Dstv ili niangalie nipate channel za mipura zore natakiwa nilipite kifurushi cha Tsh ngapi?
Mie binafsi napendaga ku stream sana ngoma youtube kuliko kuziangalia Direct kwenye king'amuzi. Hakikisha ume connect Home Theatre yako au Subs [emoji16][emoji16][emoji16] Enjoy!!!
 
Acha kuangaika mkuu , endelea tu kutumia TV yako hakuna jipya utakalopata
 
Channel kama Supersport Premier League na yenyewe quality ndogo au hiyo dstv unaangalia channel gani,isije ikawa unaangalia tbc kwenye dstv ukadhani itakuwa hd kisa ni dstv

Shida hapo ni hizo channel unazo cheki sio hd..so usiwe na chaka na hiyo tv
 
Hivi bongo youtube mnatumia internet za mtandao gani kuangalia youtube,maana natumia ya voda kifurushi cha gb 10 kwa wiki natumia siku 2 tu na hapo bila kutazama youtube!?
 
Hivi bongo youtube mnatumia internet za mtandao gani kuangalia youtube,maana natumia ya voda kifurushi cha gb 10 kwa wiki natumia siku 2 tu na hapo bila kutazama youtube!?
Mi nawashangaa watu kama wewe mnaolalamika... Maybe sababu nilishaacha kuwa mjinga.

I can watch a 2 hours full movie on Youtube, Car reviews nazotaka, videos kwa gharama ya sh.1000 tu in 3 days! Na naweza kuvipandanisha vifurushi nitakavyo sema huku tuko wachache ndio maana tunafaidi.

Yani sina uoga wa kuingia youtube kabisa ila mtu mwenye tigo au voda akikuona umeshika simu yake unaingia youtube, Instagram au facebook lazma akukazie uso.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu unatumia mtandao gani
Zantel for Lifestyle mzee...Siku nyingi nilishaachana na hao matapeli Voda na Tigo na mwenzao Halotel ambae karithi tabia za wizi.

Im feeling so free na matumizi ya mtandao. Nshasahu zile presha za umebakiwa na MB5 wakati ulijiunga maybe 1GB ndani ya madakika machache tu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vocha ilikuwa mtihani zamani ila kwa sikuhizi simply tia hela Mpesa, Jirushie kwa mitandao mingine kwenda EzyPesa. Jiunge vifurushi vyako maisha yaendelee!!!
 
Mtandao gani? Funguka tukuwezeshe
Mzee natumia Zantel sikuhizi as my main card. Huku ukiuziwa 1GB ni ya kikweli. Sio unauziwa data za kitapeli zile walizo tweak nazo. Unaona umepewa 1GB kumbe wamekupa 500MB kihalisia.
 
Waya sio ishu sana. Quality ni ile ile tu mie nimetumia RCA na HDMI kitu ni kile kile tu sema RCA huwa zinatenganisha picha na sauti tu while HDMI inabeba zote.
Acha uwongo mkuu...huwezi fananisha quality ya rca na hdmi hata siku moja...hdmi ni best zaidi
 
Acha uwongo mkuu...huwezi fananisha quality ya rca na hdmi hata siku moja...hdmi ni best zaidi
Mie siwezi bishana kwa kitu ambacho nimekifanya practically. Amini unavyoamini ila signals za RCA na za HDMI hazina tofauti.

Tafta king'amuzi punch HDMI. Weka Azam HD zile switch inputs halafu uone kama kutakuwa na Tofauti katika picha.
 
Si decoder zote za Dstv ni HD, hata kama chanell ni HD kama decoder si Hd hutapata quality nzuri.

Unatumia decoder model gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…