Tv Star X smart Tv inanitia ushamba naombeni msaada

Mie siwezi bishana kwa kitu ambacho nimekifanya practically. Amini unavyoamini ila signals za RCA na za HDMI hazina tofauti.

Tafta king'amuzi punch HDMI. Weka Azam HD zile switch inputs halafu uone kama kutakuwa na Tofauti katika picha.
Kwa hapa nitatofautiana na wewe futi 1000. HDMI inakuwa quality zaidi jombaa. Kajaribu tena
 
Mie siwezi bishana kwa kitu ambacho nimekifanya practically. Amini unavyoamini ila signals za RCA na za HDMI hazina tofauti.

Tafta king'amuzi punch HDMI. Weka Azam HD zile switch inputs halafu uone kama kutakuwa na Tofauti katika picha.
Hii ni kweli kabisa,waya hazileti tofauti za picha. Natumia king'amuzi cha Canal+ nimeliona hili.
 
Watu wanajiongopea tu eti quality ipo juu! Ah wapi tofauti ni kuwa ile moja inapitisha picha na sauti kwenye cable moja ila RCA kila channel inakuwa decoded kivyake
 
Hdmi, high definition multimedia interface.

Kwa msaada wa google. Ubora wa hdmi upo hasa kwenye sauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…