TV yangu aina ya Hisense imevunjika kioo. Nitengeneze au ninunue mpya??

TV yangu aina ya Hisense imevunjika kioo. Nitengeneze au ninunue mpya??

Mi yangu inafanya hivi tatizo nn hapa Ndugu zangu

IMG_20220211_210507_9.jpg
 
mkuu umefanikiwa hilo tatizo lako lilianza vipi kama ajagongea kioo niibu nikupe solution ya hilo tatizo
 
nimekutumia picture hiyo unaweza ukaisi kioo kimepasuka lkn akijapasuka huo ni ugonjwa natibu..ila kama umekigonga hapo itakua ni kioo njoo pm tuyajenge
 
Back
Top Bottom