TV yangu aina ya Hisense imevunjika kioo. Nitengeneze au ninunue mpya??

TV ni kioo
Kioo kikipasuka solution ni kununua mpya tu kwa sababu hata ukiweka kioo kingine haitorudi kwenye ubora wake
 
Leo Kwa bahati mbaya Nimepasua Kioo Cha TV Yangu Hisense Inch 32 Nipo Njia panda Je kunaunafuu wa Kubadilisha kioo au Ninunue Nyingine
Mkuu mi ninazo hapa home kama mbili hivi zilivunjika kioo, niliamua kuwa nanunua nyingine baada kununua kioo ilikuwa mwaka 2018 ilini cost laki tatu na picha hazikurudi katika ubora wake, nakushauri nunua nyingine tu maana utapata kwa laki tatu na nusu
 
Tv ukivunja kioo inauma sana..ila hakuna namna ni kununua nyingine tu. Ni bora waibe kuliko kioo kuvunjika...maana unabaki na kopo ndani hata sehem ya kulitupa unakosa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hiyo Sony anaipata kwa 350?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…