Tvs vs boxer (bei ya hizi pikipikina ubora)

Tvs vs boxer (bei ya hizi pikipikina ubora)

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,726
Reaction score
2,691
Niko hapa kujua bei na ubora katika matumizi ya kibishiara wa hiz piki piki kwa mwaka huu.

Nawasilisha
 
Mimi ninatumia boxer bm 150,,,,boxer tatizo lake ni kwenye service tu as inahitaji pesa nyingi kuliko tvs,,,,,,nachoona kwenye tvs ni kwamba zinachakaa body mapema sana
 
Chukua boxer. BM 150, chombo makini kwa kazi.
Then uje chemba tuongee deal namna ya KUKUZALISHIA PESA kupitia hizo pikipiki zako. Kuanzia 200k per month.
NIKO HAPA KUJUA BEI NA UBORA KATIKA MATUMIZI YA KIBISHIARA WA HIZ PIKI PIKI KWA MWAKA HUU.
.
.
NAWASILISHA
 
Mimi nilikuwa nahitaji ya biashara
 
Mtagombana bureee[emoji3][emoji3]yoote hio ni matumizi tu ya mafuta, kilomita 120 kwa lita hapo ndio napo mkubali mdosi[emoji3]haitoshi nchini kwao kwa kuzidi kujibajet na mafuta taxi zao zooote zinatumia gesi
Nilitaka kuwasha sigara jamaa alikuwa mkali kinoooma[emoji3]sikujua kama taxi yake inatumia gesi
 
Back
Top Bottom