MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Niko hapa kujua bei na ubora katika matumizi ya kibishiara wa hiz piki piki kwa mwaka huu.
Nawasilisha
Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tvs kwa sasa hizi 150 ni around 3,350,000,,,,,boxer 150 ni around 3,700,000
NIKO HAPA KUJUA BEI NA UBORA KATIKA MATUMIZI YA KIBISHIARA WA HIZ PIKI PIKI KWA MWAKA HUU.
.
.
NAWASILISHA
Tvs kwa sasa hizi 150 ni around 3,350,000,,,,,boxer 150 ni around 3,700,000
Yaani hizo bei ni za kununulia passo kabisaTvs kwa sasa hizi 150 ni around 3,350,000,,,,,boxer 150 ni around 3,700,000
service ya boxer inahitaji pesa nyingi kivipi mkuu,je ungemiliki XLR 250 jeMimi ninatumia boxer bm 150,,,,boxer tatizo lake ni kwenye service tu as inahitaji pesa nyingi kuliko tvs,,,,,,nachoona kwenye tvs ni kwamba zinachakaa body mapema sana
kea hapa dar ni 2,500'000 hizo bei zako ni wapi mkuu pleaseTvs kwa sasa hizi 150 ni around 3,350,000,,,,,boxer 150 ni around 3,700,000
Hii ni bei ya wapi mkuu?!?!Tvs kwa sasa hizi 150 ni around 3,350,000,,,,,boxer 150 ni around 3,700,000
Mkii anahitaji bei Za TVS na bixer sio HONDA na YAMAHATvs kwa sasa hizi 150 ni around 3,350,000,,,,,boxer 150 ni around 3,700,000
Mpaka kaniogopesha.Hii ni bei ya wapi mkuu?!?!
Labda huko Nanjilinji ulipo ndo mnauziwa hivyo.Tvs kwa sasa hizi 150 ni around 3,350,000,,,,,boxer 150 ni around 3,700,000
Yep yep,TVS 150 inaenda mpka 1300000...125 iko chini kidogo..