JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Sio kweli, labda kama hujaangalia hili pambano. Huyo mu argentina ni chuma kweli kweli mbishi sanaTwaha kiwango chake kinazidi kuporomoka..Afafute mwalimu mwingine amuongezee vitu.
Sent from my Infinix X652A using JamiiForums mobile app
Amempiga Ndoige iliyoboreshwa Saidi Mbelwa.Mtu kazi vipi yeye?
Kabisa mkuu, Hana ngumi za target, papala nyingi, anapania ngumi, ana rusha ngumi na mwili wote unaenda..Twaha kiwango chake kinazidi kuporomoka..Afafute mwalimu mwingine amuongezee vitu.
Sent from my Infinix X652A using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo awe anachagua mabondia wa mchongo?Ila twaha awe selective kwenye kuchagua mabondia,yule wajana kama ni ugenini twaha kapigwa.bondia ni mbishi harafu mrefu,
Kashinda kwa KO first roundMzalam vipi
Ndio Mahan mtoto wa baresa Uwezi mkuta anapigana ngumi watot wa masikini tu ndio mchezo waoIla ndondi bwana. Yaani unatoka home unaenda kupigana na mtu ata hujagombana nae. Matajiri wanakua wanashangilia mnavodundana