Twaha Kiduku ampiga Victor Hugo wa Argentina kwa alama Novemba 25, 2022

Twaha Kiduku ampiga Victor Hugo wa Argentina kwa alama Novemba 25, 2022

Hizi ngumi point wanahesabu vipi?
Mbona mzungu alipigwa nyingi mno?
 
Ndio Mahan mtoto wa baresa Uwezi mkuta anapigana ngumi watot wa masikini tu ndio mchezo wao
Lakini Maywether alikuwa tajiri kuliko wengi wa waliokuwa wanaenda kumuangalia
 
Hizi ngumi point wanahesabu vipi?
Mbona mzungu alipigwa nyingi mno?
Ngumi wanahesabu kila raundi. Ukishinda raundi moja unapewa 10/10. Aliyepigwa anapewa 9/10.
Kwahiyo kwa round 10 walizopigana twaha kashinda raundi 9 na mzungu kashinda raundi moja. Ndo unapata 99 kwa 91

Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom