DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Nov 26, 2022 #21 Hizi ngumi point wanahesabu vipi? Mbona mzungu alipigwa nyingi mno?
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Nov 26, 2022 #22 spidernyoka said: Abdallah pazi je? Click to expand... Alipiga mtu dakika ya kwanza tu
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Nov 26, 2022 #23 avogadro said: Sijui wanaokota wapi hivi vibondia njaa vinapepesuka vyenyewe Click to expand... Uliangalia game?!
avogadro said: Sijui wanaokota wapi hivi vibondia njaa vinapepesuka vyenyewe Click to expand... Uliangalia game?!
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Nov 26, 2022 #24 dojonase said: Ndio Mahan mtoto wa baresa Uwezi mkuta anapigana ngumi watot wa masikini tu ndio mchezo wao Click to expand... Lakini Maywether alikuwa tajiri kuliko wengi wa waliokuwa wanaenda kumuangalia
dojonase said: Ndio Mahan mtoto wa baresa Uwezi mkuta anapigana ngumi watot wa masikini tu ndio mchezo wao Click to expand... Lakini Maywether alikuwa tajiri kuliko wengi wa waliokuwa wanaenda kumuangalia
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Nov 26, 2022 #25 OKW BOBAN SUNZU said: Uliangalia game?! Click to expand... Niliangalia mwanzo mwisho, alikuwa anarusha vingumi mpapaso tuu, sio kama ile ya wazungu original makonde ya nguvu yanarushwa na likimpata mtu unaona kama vumbi limetimukia usoni
OKW BOBAN SUNZU said: Uliangalia game?! Click to expand... Niliangalia mwanzo mwisho, alikuwa anarusha vingumi mpapaso tuu, sio kama ile ya wazungu original makonde ya nguvu yanarushwa na likimpata mtu unaona kama vumbi limetimukia usoni
mathewa JF-Expert Member Joined Sep 5, 2012 Posts 780 Reaction score 1,171 Nov 26, 2022 #26 DeepPond said: Hizi ngumi point wanahesabu vipi? Mbona mzungu alipigwa nyingi mno? Click to expand... Ngumi wanahesabu kila raundi. Ukishinda raundi moja unapewa 10/10. Aliyepigwa anapewa 9/10. Kwahiyo kwa round 10 walizopigana twaha kashinda raundi 9 na mzungu kashinda raundi moja. Ndo unapata 99 kwa 91 Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app
DeepPond said: Hizi ngumi point wanahesabu vipi? Mbona mzungu alipigwa nyingi mno? Click to expand... Ngumi wanahesabu kila raundi. Ukishinda raundi moja unapewa 10/10. Aliyepigwa anapewa 9/10. Kwahiyo kwa round 10 walizopigana twaha kashinda raundi 9 na mzungu kashinda raundi moja. Ndo unapata 99 kwa 91 Sent from my V5+ using JamiiForums mobile app