Twaha Kiduku(Tz) amkalisha Sirimongkhon(Thailand)

Twaha Kiduku(Tz) amkalisha Sirimongkhon(Thailand)

Mie nacheka tu hizo comments zenu wadau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijawahi kereka kwenye ndondi kama leo,pambano limenunuliwa
Hapana halijanunuliwa mkuu,Kiduku ametumia ile njia ya VPN ya kwny ndondi maana sasa hapa bongo tumeshafundishwa kila tatizo/changamoto ina VPN yake ya kulitatua.
 
Mapambano ya ngumi kibongo ndio hivyo.ameletwa tu kumwongezea pont kiduku. Ndio biashara ya ngumi ilivyo.Bondia mwenyewe ana miaka 43anapigana na bondia wa miaka 28
Ungesema mapema mkuu maana unasema baada ya mtu kukubali yaishe
 
Mapambano ya ngumi kibongo ndio hivyo.ameletwa tu kumwongezea pont kiduku. Ndio biashara ya ngumi ilivyo.Bondia mwenyewe ana miaka 43anapigana na bondia wa miaka 28
Kwahiyo siyo pambano la kugombea mkanda
 
USIKU WA VITASA: Vitasa kutoka PTA Sabasaba ambapo wababe Twaha Kiduku na Sirimongkhon watashuka ulingoni kuzichapa, hapa utavisikia tu paaaah paaah paaaah
Bendera Chuma Mlingoti Chuma

Records

Twaha Kassimu Rubaha/Twaha Kiduku (Mtanzania)
Ana miaka 28
Amepanda ulingoni mara 22, jumla ya rounds 128
Ameshinda mara 15, na 8 kati ya aliyoshinda ni kwa KO's ameshindwa mara 6, mara moja alipigwa kwa KO, pia amesuluhu mara moja

Sirimongkhon Iamthuam/Sirimongkol Singwancha(Mthailand)
Ana miaka 43
Amepanda ulingoni mara 101, amepambana jumla ya rounds 609
Ameshinda mara 97, na 92 kati ya ushindi ni kwa KO's ameshindwa mara 4, mara 1 alipigwa KO
Uzito ni Light Heavy

Mapambano ya Utangulizi
1. Hamza Iddi Vs Jamal Kunoga
Pambano la Rounds 8
Uzito: Fly
Mshindi: Hamza Iddy

2. Said Wigo (Unyoya) Vs Francis Miyeyusho
Rounds: 10
Uzito wa kati
Mshindi: Francis Miyeyusho ameshinda kwa knockout

3. Maono Ally Vs Joseph Sinkala
Uzito wa Kati
Rounds 19
Mshindi: Maono Ally kashinda kwa knock out

4. Alfonce Mchumiatumbo vs Shaaban Jongo
Uzito wa Juu
Rounds: 10
Mshindi: Shaaban Jongo

5. Twaha Kiduku (Tanzania) vs Sirimongkhon (Thailand)
Uzito wa juu
Rounds: 12
Mshindi:

Stay Here for updates
View attachment 1616113
Huyu Mthailand anatambulika na WBA,WBC ?
 
Ila huu mpambano naona kama kuna kausanii flani hivii.

Jamaaa anamaliza mpambano kama refa[emoji23][emoji23][emoji23]

Hahahahaha mi ningedai nusu ya kiingilio asee haiwezekani mtu ana 43 Years apambane na 28 Years ni vitu viwili tofauti.
 
Francis miyeyusho kafikia stage ya kupigana utangulizo. It pain[emoji24][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Yule ni Mthailand ni fake wa yule tulietangaziwa, halafu pia ni aibu kwa chombo cha hadhi ya Azam Media kukosa Mkalimani wa huyo Mthailand fake.
 
Back
Top Bottom