Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Mie nacheka tu hizo comments zenu wadau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hajarusha hata ngumi moja, huu ni usanii.
Atakua ni muhuni tu muuza kahawa wa huko Thailand.Jamaa hajarusha hata ngumi moja, huu ni usanii.
Hapana halijanunuliwa mkuu,Kiduku ametumia ile njia ya VPN ya kwny ndondi maana sasa hapa bongo tumeshafundishwa kila tatizo/changamoto ina VPN yake ya kulitatua.Sijawahi kereka kwenye ndondi kama leo,pambano limenunuliwa
Ungesema mapema mkuu maana unasema baada ya mtu kukubali yaisheMapambano ya ngumi kibongo ndio hivyo.ameletwa tu kumwongezea pont kiduku. Ndio biashara ya ngumi ilivyo.Bondia mwenyewe ana miaka 43anapigana na bondia wa miaka 28
Kwahiyo siyo pambano la kugombea mkandaMapambano ya ngumi kibongo ndio hivyo.ameletwa tu kumwongezea pont kiduku. Ndio biashara ya ngumi ilivyo.Bondia mwenyewe ana miaka 43anapigana na bondia wa miaka 28
Huyu Mthailand anatambulika na WBA,WBC ?USIKU WA VITASA: Vitasa kutoka PTA Sabasaba ambapo wababe Twaha Kiduku na Sirimongkhon watashuka ulingoni kuzichapa, hapa utavisikia tu paaaah paaah paaaah
Bendera Chuma Mlingoti Chuma
Records
Twaha Kassimu Rubaha/Twaha Kiduku (Mtanzania)
Ana miaka 28
Amepanda ulingoni mara 22, jumla ya rounds 128
Ameshinda mara 15, na 8 kati ya aliyoshinda ni kwa KO's ameshindwa mara 6, mara moja alipigwa kwa KO, pia amesuluhu mara moja
Sirimongkhon Iamthuam/Sirimongkol Singwancha(Mthailand)
Ana miaka 43
Amepanda ulingoni mara 101, amepambana jumla ya rounds 609
Ameshinda mara 97, na 92 kati ya ushindi ni kwa KO's ameshindwa mara 4, mara 1 alipigwa KO
Uzito ni Light Heavy
Mapambano ya Utangulizi
1. Hamza Iddi Vs Jamal Kunoga
Pambano la Rounds 8
Uzito: Fly
Mshindi: Hamza Iddy
2. Said Wigo (Unyoya) Vs Francis Miyeyusho
Rounds: 10
Uzito wa kati
Mshindi: Francis Miyeyusho ameshinda kwa knockout
3. Maono Ally Vs Joseph Sinkala
Uzito wa Kati
Rounds 19
Mshindi: Maono Ally kashinda kwa knock out
4. Alfonce Mchumiatumbo vs Shaaban Jongo
Uzito wa Juu
Rounds: 10
Mshindi: Shaaban Jongo
5. Twaha Kiduku (Tanzania) vs Sirimongkhon (Thailand)
Uzito wa juu
Rounds: 12
Mshindi:
Stay Here for updates
View attachment 1616113
Isijekuwa wameleta mwigizaji wa Bollywood.Waandaaji wametapeli watu hapa. Huyu ni bondia au mwigizaji?
Frans anarudi kwenye games baada ya majanga. huwezi kurudi ghaflaFrancis miyeyusho kafikia stage ya kupigana utangulizo. It pain[emoji24][emoji22][emoji22][emoji22]